Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Been missed NifahMbona hili suala alishahojiwa na akalitolea ufafanuzi mzuri tu?
Alisema yeye sio muajiwa wa wasafi bali partners (sio partners kwa maana ya shares,lah)
Yeye ni partners na Wasafi kwa maana ya kwamba atakuwa anaprovide content,na aliahidi kurejea hewani hivi karibuni.
Alienda mbali zaidi kwa kusisitiza kuwa kwa ‘levo’ aliyofikia ni ngumu kwake kuajiriwa. Kwa maana hiyo amejiajiri kwa yeye kutengeneza vipindi vyake mwenyewe kisha kuingia mkataba na television (kama anavyotaka kufanya na Wasafi)
Hayo mengine mnayoyasema ni vile Watanzania tunajuana,kichwa cha habari tunajiongeza wenyewe. Lol
Zamaradi hajawahi kuajiriwa Wasafi TvMtangazaji wa zamani wa Clouds Media Group, Zamaradi Mketema ambaye baada ya kuvunjika kwa mahusiano yake ya kimapenzi na Mkurugenzi wa CMG, Ruge Mutahaba, alihamia Wasafi Media kuendelea na career yake.
Baada ya uzinduzi rasmi wa Wasafi TV na Wasafi FM, ilitarajiwa mtangazaji huyu mahiri kuanza kuonekana kwenye runinga akiendesha kwa mafanikio kipindi kama alivyokuwa akifanya Take One na kituo chake cha kazi cha zamani.
Tofauti na matarajio ya wengi, ghafla mwanadada Zamaradi ameanza kujiondoa kushiriki kwenye kazi zote zinazohusiana na Wasafi pengine kabla hata ya kuanza. Na kwa tukio la hivi karibuni la Wasafi Festival, hakuonekana kuongelea chochote kama ilivyo ada kwenye projects nyingine za Mwajiri wake huyo mpya.
Sasa, kwa sababu bado hakujatoka official say, naomba kupitia uzi huu tukajaribu kudodosa endapo kuna lolote linaloendelea linalopelekea awe kimya kabisa huku akionekana kuwa busy na shughuli zake nyingine.
Maswali ya shauku;
1. Mgongano wa kimaslahi na kukomoana baina ya Wasafi Media na Clouds Media umemweka njia panda?
2. Hali ya Afya ya mzazi mwenzie (Ruge) imemfanya ashindwe kuvumilia kuhimili vishindo vya kejeli kutoka kwa wanaofurahia anguko lake?
3. Ameshindwana malipo na Wasafi Media?
4. Anaamua kuwa freelancer?
5. Ana mpango wa kurudi Clouds Media Group?
Hayo ni miongoni mwa maswali yanayoweza kutupatia majibu. Na yeye mwenyewe anaweza kuja hapa kuliongelea suala hili ili kuondoa sintofahamu kwa wapenzi wa kazi zake.
Well said.. Lakini bado hoja ipo.Mbona hili suala alishahojiwa na akalitolea ufafanuzi mzuri tu?
Alisema yeye sio muajiwa wa wasafi bali ni partners (sio partners kwa maana ya shares,lah)
Yeye na Wasafi ni partners kwa maana ya kwamba atakuwa anaprovide content,na aliahidi kurejea hewani hivi karibuni.
Alienda mbali zaidi kwa kusisitiza kuwa kwa ‘levo’ aliyofikia ni ngumu kwake kuajiriwa. Kwa maana hiyo amejiajiri kwa yeye kutengeneza vipindi vyake mwenyewe kisha kuingia mkataba na television (kama anavyotaka kufanya na Wasafi)
Hayo mengine mnayoyasema ni vile Watanzania tunajuana,kichwa cha habari tunajiongeza wenyewe. Lol
Mtu kuwa mkweli ni ujinga?Atakuwa Ni mjinga endapo ataonyesha dhahir yupo upande Upi
Na wewe ukamuelewa? Kama ni hivyo mbona mwanzo alikuwa nao bega kwa bega? Hapo kajitetea tu ila itakuwa kuna kitu hakiko sawa kati yake na WCBMbona hili suala alishahojiwa na akalitolea ufafanuzi mzuri tu?
Alisema yeye sio muajiwa wa wasafi bali ni partners (sio partners kwa maana ya shares,lah)
Yeye na Wasafi ni partners kwa maana ya kwamba atakuwa anaprovide content,na aliahidi kurejea hewani hivi karibuni.
Alienda mbali zaidi kwa kusisitiza kuwa kwa ‘levo’ aliyofikia ni ngumu kwake kuajiriwa. Kwa maana hiyo amejiajiri kwa yeye kutengeneza vipindi vyake mwenyewe kisha kuingia mkataba na television (kama anavyotaka kufanya na Wasafi)
Hayo mengine mnayoyasema ni vile Watanzania tunajuana,kichwa cha habari tunajiongeza wenyewe. Lol
si alimuacha uncle Ruge kwa mbwembwe za kuolewa...kaolewa sasa...Na nani ?
Nifah, The Boss yuko wapi?Mbona hili suala alishahojiwa na akalitolea ufafanuzi mzuri tu?
Alisema yeye sio muajiwa wa wasafi bali ni partners (sio partners kwa maana ya shares,lah)
Yeye na Wasafi ni partners kwa maana ya kwamba atakuwa anaprovide content,na aliahidi kurejea hewani hivi karibuni.
Alienda mbali zaidi kwa kusisitiza kuwa kwa ‘levo’ aliyofikia ni ngumu kwake kuajiriwa. Kwa maana hiyo amejiajiri kwa yeye kutengeneza vipindi vyake mwenyewe kisha kuingia mkataba na television (kama anavyotaka kufanya na Wasafi)
Hayo mengine mnayoyasema ni vile Watanzania tunajuana,kichwa cha habari tunajiongeza wenyewe. Lol
Wanao mkebei na yeye aliyevujisha Audio anamlilia nani anastahaNahisi #2 inahusika hapo, mtu ukizaa nae ni mkeo/mmeo tayari, ni ngumu kukaa na wanaomkebehi mzazi mwenzio na roho yako ikatulia labda kama upstairs kumevurugika!
Na wewe ukamuelewa? Kama ni hivyo mbona mwanzo alikuwa nao bega kwa bega? Hapo kajitetea tu ila itakuwa kuna kitu hakiko sawa kati yake na WCB
The Boss au The Bold na wewe mbona unatuchanganyia mafailiNifah, The Boss yuko wapi?
Ni wachache sana wenye kukumbuka fadhira za waja wengine washasahau na sasa watangaza uaduiNamba mbili apo itakua sahihi,pamoja wameachana na mzazi mwenzake ila kamtoa mbal,utu lazima