Zamaradi Mketema ameachana na Wasafi Media?

Zamaradi Mketema ameachana na Wasafi Media?

Well said.. Lakini bado hoja ipo.


Utakumbukuka wakati wa kuzindua Wasafi TV alitoa sapoti kubwa mno. Uzinduzi wa vipindi vya mwanzoni pia alitoa sapoti ya promo.

Kazi za wasanii wa lebo ya Wasafi nazo alikuwa akizifanyia promo kama kawaida ya team ya pale kusapotiana kwa nguvu.

Swali linakuja; Why hivi karibuni amepiga kimya kabisa kuhusu hii festival na hata kazi mpya za WCB?

Halafu nimekumiss..
Mkuu hata hizo story za kusema baba watoto wake yupo hai ama laa lazima zitakuwa zinamchanganya....sio ngumu kupata majibu hapo....
 
Mhh
Yupo kimya na anasubiri tu barua...kwasababu ya ile ishu ya kutapeli wanawake wenzie 1000 kupitia magurupu ya WhatsApp, yalikuwa yanaitwa WONDER WOMAN, 1,2,3,4.....

Sasa hao wanawake walichikifanya, ni kutembea na mabwana zake wote....hahahahha...ameipata pata
 
Back
Top Bottom