Zamaradi Mketema ameachana na Wasafi Media?

Zamaradi nampenda sana yuko vzuri sana kichwani kuliko ma star wengi wabongo. Naona katulia sasa mana Ruge anaumwa ni vile alienda wasafi ka kumkomoa Ruge. Nakuombea Ruge upone aisee. Zama ka roho ka huruma kamemjia tena
 
Mbona hili suala alishahojiwa na akalitolea ufafanuzi mzuri tu?

Alisema yeye sio muajiwa wa wasafi bali ni partners (sio partners kwa maana ya shares,lah)
Yeye na Wasafi ni partners kwa maana ya kwamba atakuwa anaprovide content,na aliahidi kurejea hewani hivi karibuni.

Alienda mbali zaidi kwa kusisitiza kuwa kwa ‘levo’ aliyofikia ni ngumu kwake kuajiriwa. Kwa maana hiyo amejiajiri kwa yeye kutengeneza vipindi vyake mwenyewe kisha kuingia mkataba na television (kama anavyotaka kufanya na Wasafi)

Hayo mengine mnayoyasema ni vile Watanzania tunajuana,kichwa cha habari tunajiongeza wenyewe. Lol
 
Been missed Nifah
 
Zama atakosa uungwana sana kama atafanya kazi na Watu wanaofurahia masaibu ya Mzazi mwenzake.
 
Zamaradi hajawahi kuajiriwa Wasafi Tv
Anatengeneza vipindi vya televisheni anauza kwa makubaliano
 
Well said.. Lakini bado hoja ipo.


Utakumbukuka wakati wa kuzindua Wasafi TV alitoa sapoti kubwa mno. Uzinduzi wa vipindi vya mwanzoni pia alitoa sapoti ya promo.

Kazi za wasanii wa lebo ya Wasafi nazo alikuwa akizifanyia promo kama kawaida ya team ya pale kusapotiana kwa nguvu.

Swali linakuja; Why hivi karibuni amepiga kimya kabisa kuhusu hii festival na hata kazi mpya za WCB?

Halafu nimekumiss..
 
Na wewe ukamuelewa? Kama ni hivyo mbona mwanzo alikuwa nao bega kwa bega? Hapo kajitetea tu ila itakuwa kuna kitu hakiko sawa kati yake na WCB
 
Haka ka dada mtaji wake ni kiuno...na kama ujuavyo, mwisho wa kiuno ni kuvunjika.
 
Yupo kimya na anasubiri tu barua...kwasababu ya ile ishu ya kutapeli wanawake wenzie 1000 kupitia magurupu ya WhatsApp, yalikuwa yanaitwa WONDER WOMAN, 1,2,3,4.....

Sasa hao wanawake walichikifanya, ni kutembea na mabwana zake wote....hahahahha...ameipata pata
 
Nifah, The Boss yuko wapi?
 
Nahisi #2 inahusika hapo, mtu ukizaa nae ni mkeo/mmeo tayari, ni ngumu kukaa na wanaomkebehi mzazi mwenzio na roho yako ikatulia labda kama upstairs kumevurugika!
Wanao mkebei na yeye aliyevujisha Audio anamlilia nani anastaha
 
Ikiwa contract imekwisha ? Kwanini wabongo mnakuwa vichwa maji? Kwani haiwezi ikawa walikuwa na mukataba na ukawa umeisha ?, tena kumbukeni

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Na wewe ukamuelewa? Kama ni hivyo mbona mwanzo alikuwa nao bega kwa bega? Hapo kajitetea tu ila itakuwa kuna kitu hakiko sawa kati yake na WCB

Sasa mkuu unataka nisimuelewe Zamaradi nikuelewe wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…