Huyo mmanyema wa kigoma, asili yake congo drc hana uhaya wowoteWahaya wanashida flan
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mmanyema wa kigoma, asili yake congo drc hana uhaya wowoteWahaya wanashida flan
USSR
Wanyama rafiki wa binadamu wanapedwa na watu wote waastaarabu ana wasiò wastarabu..Hii ni kweli kwa watu waliostaarabika mathalani wazungu wanapenda sana wanyama.
HAta kule kwetu kijijini ukiwa na mbwa wako/wenu. Siku akipata shida lazma uumie.Hii ni kweli kwa watu waliostaarabika mathalani wazungu wanapenda sana wanyama.
😀😀Hii kama haijakutokea huwezi elewa kabisa,huko way back home tulikuwa na kapaka kazuri sana,kakaanza.kuelewa baadhi ya mambo tuliyo kafundisha ,binafsi nilikapenda sana,kuna dogo ndugu yetu mtundu akaja kukasokomeza na ufagio wa chelewa sehemu ya utupu wa nyuma na kalikuwa kadogo
Dah kalikuja kufa,aisee nilipata simanzi sana,kwahiyo namuelewa sana zamaradi,yaan ningekuwa karibu nae ningempa hug la maana sana kumfariji
pole yake vip msiba matenti yametosha na tunazika au tunasafirishaKwa uchungu mzito Zamaradi Mketema aomboleza msiba wa ghafla wa paka wake baada ya kushambuliwa na mbwa
"Sijawahi kutegemea kama nitaumia hivi kwa kiumbe tofauti na mwanadamu, Paka wangu anaitwa HANNA, usiku sijui kitu gani kimemtuma atoke nje, kametokea dirishani akakutana na mbwa maana mbwa huwa tunawafungulia usiku tu wakamuumiza mno, na hii ni mara ya pili
mara ya kwanza alitokaga mbwa wakamshambulia bahati nzuri tuliwawahi akawa hoi lakini akapona kabisa akawa sawa, na akawa muoga kutoka ndani usiku sasa sijui kajisahau nini jamani katoka tena kilichomkuta this time hajapona,
nimeumiaaaaa 😭😭😭😭 Kalikuwa karafiki kazuri sana, nikirudi tu nyumbani lazima anikimbilie, na kila ninapoenda anakuwa nyuma!! Na utakapokaa lazima kawe pembeni, na kuna muda kachokozi kwelikweli lakini ni usumbufu wenye raha ndani yake, Dah!! Nimeumia kwakweli" - ameandika
Source: Swahili world on Facebook
View attachment 3085958
Nakubaliana na wewe Mkuu,HAta kule kwetu kijijini ukiwa na mbwa wako/wenu. Siku akipata shida lazma uumie.
Wengine wanaweza wasile chakula kabisa.
Dah hawa wanyama ukiwapenda nao wanakuonesha upendo kuliko hata binadamuKwa uchungu mzito Zamaradi Mketema aomboleza msiba wa ghafla wa paka wake baada ya kushambuliwa na mbwa
"Sijawahi kutegemea kama nitaumia hivi kwa kiumbe tofauti na mwanadamu, Paka wangu anaitwa HANNA, usiku sijui kitu gani kimemtuma atoke nje, kametokea dirishani akakutana na mbwa maana mbwa huwa tunawafungulia usiku tu wakamuumiza mno, na hii ni mara ya pili
mara ya kwanza alitokaga mbwa wakamshambulia bahati nzuri tuliwawahi akawa hoi lakini akapona kabisa akawa sawa, na akawa muoga kutoka ndani usiku sasa sijui kajisahau nini jamani katoka tena kilichomkuta this time hajapona,
nimeumiaaaaa 😭😭😭😭 Kalikuwa karafiki kazuri sana, nikirudi tu nyumbani lazima anikimbilie, na kila ninapoenda anakuwa nyuma!! Na utakapokaa lazima kawe pembeni, na kuna muda kachokozi kwelikweli lakini ni usumbufu wenye raha ndani yake, Dah!! Nimeumia kwakweli" - ameandika
Source: Swahili world on Facebook
View attachment 3085958
Sherphed wangu nimemtrain awe na staha kwa paka wetu pale home na wanakula pamoja ikibidi.Kwa uchungu mzito Zamaradi Mketema aomboleza msiba wa ghafla wa paka wake baada ya kushambuliwa na mbwa
"Sijawahi kutegemea kama nitaumia hivi kwa kiumbe tofauti na mwanadamu, Paka wangu anaitwa HANNA, usiku sijui kitu gani kimemtuma atoke nje, kametokea dirishani akakutana na mbwa maana mbwa huwa tunawafungulia usiku tu wakamuumiza mno, na hii ni mara ya pili
mara ya kwanza alitokaga mbwa wakamshambulia bahati nzuri tuliwawahi akawa hoi lakini akapona kabisa akawa sawa, na akawa muoga kutoka ndani usiku sasa sijui kajisahau nini jamani katoka tena kilichomkuta this time hajapona,
nimeumiaaaaa 😭😭😭😭 Kalikuwa karafiki kazuri sana, nikirudi tu nyumbani lazima anikimbilie, na kila ninapoenda anakuwa nyuma!! Na utakapokaa lazima kawe pembeni, na kuna muda kachokozi kwelikweli lakini ni usumbufu wenye raha ndani yake, Dah!! Nimeumia kwakweli" - ameandika
Source: Swahili world on Facebook
View attachment 3085958
Kuna clip fulani niliona,Dah hawa wanyama ukiwapenda nao wanakuonesha upendo kuliko hata binadamu
Hasa mmbwa anahisia kali kwa anaemfuga na mkishazoeana ndio balaa
Washamba hawaelewi kazi majunguHii nayo ni alama ya good life
Ni upendo fln tu mkuu wala sio maisha mazuri ama Mimi nimeelewa maisha mazuri ni utajiri ndo nikawa vingine...ila kama ni hivyo sio kweli viumbe hawa ukimuonyesha upendo nae atakuonyesha upendo zaidi.Washamba hawaelewi kazi majungu
Nilitaka kuua mtu kisa alibonda mbwa tukiwa home,....kama sio watu kuingilia,...sijui😞Watu wengi wanaofuga paka,mbwa huwa wana bond nao sana.