min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hii naikubal kabisa ,nikiwa mdogo mbwa wangu alikufa nikashindwa kula vizuri zaidi ya mwezi.Watu wengi wanaofuga paka,mbwa huwa wana bond nao sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii naikubal kabisa ,nikiwa mdogo mbwa wangu alikufa nikashindwa kula vizuri zaidi ya mwezi.Watu wengi wanaofuga paka,mbwa huwa wana bond nao sana.
Cjawai kumwamin msaniiSherphed wangu nimemtrain awe na staha kwa paka wetu pale home na wanakula pamoja ikibidi.
Lakini paka shume akiruka ukuta kuingia yard anakutana na grim anamsubiri. Kaua paka kibao
Sasa tutakula nyama kweli?ndio maana sitaki mazoe na mnyama yeyoteHata kuku ukitengeneza mazoea nao lazima upate uzuni tu
Mimi siyo active politician. Amini tu nduguCjawai kumwamin msanii
Kwa hiyo mbwa kapewa adhabu gani?Hii ni kweli kwa watu waliostaarabika mathalani wazungu wanapenda sana wanyama.
AaahaawShow off za kijinga!
Ikianza Episode ya Nina Zamdela na BABA YAKE George pliz Nishtue MmKuu.Haha ila wabongo mna vituko basi tu ngoja tuendelee ku-enjoy isidingo.
Wako vizuri sanaPaka ni viumbe poa sana, ningekaa nao ila geto la msela paka atakufa njaa.
una bond vipi na mnyama kama siyo usenge!Yah mkibondi ni kweli nakubali.
Ndo usenge wenyewe huo sasauna bond vipi na mnyama kama siyo usenge!
Kweli kabisa. Mbwa wetu alikwenda mbali usiku kufuata mademu akachangamana na mbwa wengine wenye kichaa. Ikabidi mzee amuue kwa usalama na maelekezo ya serikali. Ni miaka zaidi ya 30 imepita mama bado anamkumbuka jinsi alivyokuwa akimlaki anaporudi kutoka safari au shamba.Sijui kwa nini watu wanachukulia negative, kama umewahi kuishi na mnyama na ukabond nae akifa unafeel maumivu...