Zamaradi Mketema aomboleza msiba wa ghafla wa paka wake baada ya kushambuliwa na mbwa

Hii ni kweli kwa watu waliostaarabika mathalani wazungu wanapenda sana wanyama.
Wanyama rafiki wa binadamu wanapedwa na watu wote waastaarabu ana wasiΓ² wastarabu..
Hakuna nyumba kijijini inakosa mnyama either mbwa, paka , ngombe, mbuzi , kuku na n.k.
Hivyohivyo kwa wazungu wao sanasana ni paka na mbwa.
 
πŸ˜€πŸ˜€
 
pole yake vip msiba matenti yametosha na tunazika au tunasafirisha
 
HAta kule kwetu kijijini ukiwa na mbwa wako/wenu. Siku akipata shida lazma uumie.

Wengine wanaweza wasile chakula kabisa.
Nakubaliana na wewe Mkuu,

Ni mazoea tu mkuu,kitu ukikizowea na kukifeel,siku kikiondoka lazima uumie,
Hata mgeni tu ambae una bond nae,siku akiondoka lazima ufeel unyonge,hata ukiishi kwenye mji ambao una bond nao,lazima utafeel unyonge siku ukiondoka kwenye huo Mji.
 
Dah hawa wanyama ukiwapenda nao wanakuonesha upendo kuliko hata binadamu
Hasa mmbwa anahisia kali kwa anaemfuga na mkishazoeana ndio balaa
 
Sherphed wangu nimemtrain awe na staha kwa paka wetu pale home na wanakula pamoja ikibidi.

Lakini paka shume akiruka ukuta kuingia yard anakutana na grim anamsubiri. Kaua paka kibao
 
Bhc waswahil mtamponda mlivokua na roho mbaya
Hivo viumbe vinapendeza kufugwa na watu wanaojiweza
Vinginevyo ni mzigo kwa maskin,,maana akinunua fungu moja la dagaa alaf paka akalipitia ..huyo paka atafanywa mboga
Ila ukiwa unajiweza hao wanavyakula vyao swafi kabisa .
 
Dah hawa wanyama ukiwapenda nao wanakuonesha upendo kuliko hata binadamu
Hasa mmbwa anahisia kali kwa anaemfuga na mkishazoeana ndio balaa
Kuna clip fulani niliona,

Jamaa alikua na Mbwa wake,yule Mbwa alikuja kupotea,
Mmiliki wa Mbwa akapatwa na umauti,baada ya muda yule Mbwa akaja kupatikana,yule mmiliki wa yule Mbwa hakuzikwa mbali sana na Nyumbani kwake,basi yule Mbwa akaenda mpaka kwenye lile kaburi na kuonyesha ishara za masikitika,Mbwa hua wanatunza memory na harufu.
 
Hii nikweli kabisa kama.ushawahi Fuga mbwa,paka, na hata ng'ombe ama njiwa utakubaliana nae maumivu Huwa yanakuwepo but huwezi linganisha na ya mtu.

Nilkuwa na njiwa na mbwa wakisikia sauti yangu njiwa wanakuja Kuni laki wataangula mbele yangu Hadi nafika nyumbani nikiingia ndani wananisubiri mlangoni ilikuwa Raha sana

Mbwa nae vile vile.......
 
Washamba hawaelewi kazi majungu
Ni upendo fln tu mkuu wala sio maisha mazuri ama Mimi nimeelewa maisha mazuri ni utajiri ndo nikawa vingine...ila kama ni hivyo sio kweli viumbe hawa ukimuonyesha upendo nae atakuonyesha upendo zaidi.


Niliwasimuliwa na mchungaji wa ngo'mbe fln aliona ndege kanasa kwenye mti yaani yule ndege alikuwa na nyuzi nyuzi fln za guo yamkini alikuwa amezitoa kwenye makazi ya watu na alipotua kwenye mti alinasa.

Jamaa alikuwa na kawaida ya kupita njia hiyo yenye mti akiwa anaenda machungani


Basi alipomuona alimfata yule ndege
Na kumtolea ule Uzi na kumuacha akaenda zake.

Sasa Kila akipita hapo yule denge lazima amfuate huku akionyesha furaha sana.


Japo alikuwa haanguki kwenye mwili wa jamaa ila alikuwa anashinda nae huko hata akipotea muda mfupi tu anarudi Kwa jamaa


Jamaa alingundua ni wema alio ufanya Kwa ndege yule ndio maana.

Hakuna Cha maana ndege alicho fanya Kwa jamaa tofauti na kuwa nae asbh Hadi jioni anaporudisha mifugo yake nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…