Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Hahaha bango limezua jambo...
Kumbe mwanaume kazaa nje anakitoto kichanga huko [emoji28][emoji28][emoji28]

Punguzen show off ona ss mnaumbuliwa na michepuko ya waume zenu
 
Hahaha bango limezua jambo...
Kumbe mwanaume kazaa nje anakitoto kichanga huko [emoji28][emoji28][emoji28]

Punguzen show off ona ss mnaumbuliwa na michepuko ya waume zenu
Kumbe aliyeumbua ni mchepuko[emoji23][emoji23]
 
Kumbe aliyeumbua ni mchepuko[emoji23][emoji23]
Akae kwa kutulia..asidhan yeye ndo anapendwa dunia nzima[emoji1787][emoji1787]
Mdada alijua kututukunisha huyuuuu kwa sie ambao hatukua na cha kutoa kwa wabby wetu[emoji2957]
 
Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.

Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.

View attachment 2118894

Zama amesema kuwa mumewe Bwana Shabani alifurahi sana alipompeleka eneo la tukio hadi machozi kumtoka.

View attachment 2118895

Bango hilo litakaa kwa muda wa mwezi mzima.

Note: Madanga ya shemeji yetu yajipange pamoja na mke mkubwa (kama yupo) mwenzao kawazidi kete bango kuubwa kama tangazo la Condomu.
huyu dada sijawahi kumkubali, huwa naona mnafiki sana. tangu arushe zile audio za Ruge, nilimdharau mno.
 
Caption moja ya post ni sawa na gazeti la mwanaspoti lote ana caption ndefu halafu anajifanya motivational speaker
 
Back
Top Bottom