Zamaradi Mketema hayo macho hufai kuwa kwenye tv

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,215
Kwa muonekano wa macho yako yanatisha na kuogopesha watazamaji zamani nilidhani ni majungu ya watu kumbe ni kweli.

Ulifaa kubaki kwenye redio na sio tv, inshort hufai kuwa kwenye tv.

Mwambie boss wako na mpenzi wako akubadilishe,unaogopesha watazamaji.
 
kwa muonekano wa macho yako yanatisha na kuogopesha watazamaji zamani nilidhani ni majungu ya watu kumbe ni kweli. ulifaa kubaki kwenye redio na sio tv, inshort hufai kuwa kwenye tv.mwambie boss wako na mpenz wako akubadilishe.unaogopesha watazamaji.
acha na kipindi chake tazama vya wale ambao hawatishi
 
kwa muonekano wa macho yako yanatisha na kuogopesha watazamaji zamani nilidhani ni majungu ya watu kumbe ni kweli. ulifaa kubaki kwenye redio na sio tv, inshort hufai kuwa kwenye tv.mwambie boss wako na mpenz wako akubadilishe.unaogopesha watazamaji.

Mie nilisema nikaonekana mbeya bora wengine waliona kisa mumliki ni mzazi mwenza
 
kwel mimi mwanangu mdogo kikianza kipindi cha take one namuona anashtuka hadi nabadili station. kumbe alipewa shavu kwa hisani ya kuzaa na ruge ndio maana tz haita endelea mtu hafit kwenye certain job anapewa kwa rushwa.tehtehteh clauds tv.
 
Si alikuwa anamtukana ray c. Aje ajibu na humu ndani,halaf kiachen kichuma mboga cha rugay
 
kwa muonekano wa macho yako yanatisha na kuogopesha watazamaji zamani nilidhani ni majungu ya watu kumbe ni kweli. ulifaa kubaki kwenye redio na sio tv, inshort hufai kuwa kwenye tv.mwambie boss wako na mpenz wako akubadilishe.unaogopesha watazamaji.
haahaaaa.. this is hilarious aiseee
 
kwel mimi mwanangu mdogo kikianza kipindi cha take one namuona anashtuka hadi nabadili station. kumbe alipewa shavu kwa hisani ya kuzaa na ruge ndio maana tz haita endelea mtu hafit kwenye certain job anapewa kwa rushwa.tehtehteh clauds tv.
hahahaaaa.. naskia anatafuta script, ili nayeye aanze ku ACT movies zetu zile... Niki visualise namuona kama zombie la kwenye wrong turn movie....duuh.
 
Kuhusu muonekano wa macho yake hlo ni kweli,kidiziani flani yanaogopesha,ila ndivyo muumba alivyomuumba tusikufuru,but ni mtangazaji mzuri sana ana confidence ya kutosha na anajielewa kwa kiwango cha juu sana,ni kati ya watangazaj wachache wanaojielewa..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahaaaa.. naskia anatafuta script, ili nayeye aanze ku ACT movies zetu zile... Niki visualise namuona kama zombie la kwenye wrong turn movie....duuh.

apewe script ya kuact jini atafunika mbaya
 
kwa muonekano wa macho yako yanatisha na kuogopesha watazamaji zamani nilidhani ni majungu ya watu kumbe ni kweli. ulifaa kubaki kwenye redio na sio tv, inshort hufai kuwa kwenye tv.mwambie boss wako na mpenz wako akubadilishe.unaogopesha watazamaji.

he! mbona kauli kali hivyo,kakufanyaje maana haiwezikuwa kawaida.
 
Kwa muonekano wa macho yako yanatisha na kuogopesha watazamaji zamani nilidhani ni majungu ya watu kumbe ni kweli.

Ulifaa kubaki kwenye redio na sio tv, inshort hufai kuwa kwenye tv.

Mwambie boss wako na mpenzi wako akubadilishe,unaogopesha watazamaji.

naomba nikwambie kitu mkuu!

from the interior part of my heart,

i feel this lady!

she drives me nice,

especially when she is straight looking at the camera!

principle mojawapo ya utangazaji hasa ya tv ni confidence. huyu mdada sijaona sehem yuko anatisha!!

-----------------------------------

rudi tena ufanye utafiti!! riripti rako harina reasonable points!

over!!
 
Zamarad watudatisha watu huyo anaekuponda, endelea kubana najua kama kawaida we ni bint mwenye mcmamo so huteteleki na hao tongozatongoza wa mjini.
 
Back
Top Bottom