Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabig.thanks kwa info
Mwisho wa siku huyu Zamradi ndio kaonekana mjinga kuliko wote kutokana na kutokwa povu mdomoni. Post zote hapo juu za Zamradi kazifuta Instagram which shows baada ya kutulia na hasira/wivu/uswahili kupungua akaona kabisa anaonekana mjinga. Anyway mjanja hapa Ruge maana ndie anaegombaniwa ila yeye mwenyewe kimyaa. I never understand wanawake kwa nini hugombana na wanawake wengine pale mwanaume wao anapo onekana kuwa msaliti. Kama mwanaume ulienae ni mhuni utagombana na wangapi?
Zama mswahili jamani.........halfu mtoto wake aliozaa na rughe magzeti ya shigongo
hawajui maana wameikaushia kimya kimya wakati ni full udaku.....
Ila Ray C angepaswa atulie kwanza...niliangalia kipindi kimoja anahojiwa nikaona baaado dawa hazijaisha mwilini; anaongea kama amelewa.
Atulie kwa sababu hatumuombei vibaya lakini kutoka kwenye uteja si rahisi hivyo; mtaja shangaa amerudi alikotoka; (refer Whitney). Akiingia kwenye ma love conflicts yakimvuruga atarudi kwenye comforter wake ..madawa
Mkuu samahani, ndio wakina nani hao na wanahusika na nini.??
Hivi kwa nini watu wakigombana kwa kutupiana maneno inaonekana ni 'Uswahili'? Kwa nini hasa?