Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

Wote ni wazee wa fursa hao luge utawapa virusi mpaka lini mabinti wa bongo we kaka tumekuchokaaaaa
 
Wakuu mbona hakuna sehemu inayoonesha Zamaradi amemtaja Ruge??!naona ni Ray C tu ndio analia lia,huyo teja nae mara hii ameshaanza kuparamia wanaume,ngoja uludi ulipotoka wakipitisha bakuli hatumchangii

Ukiwa teja kwani mpaka papuchi inalewa????Aparamie wanaume kwani Ruge kamjua jana?
Ray c anamfahamu Ruge siku nying kipind hicho Zamaradi anavaa satini......atulie huyo Ruge ni mali ya Umma kama hajui bas ndo ajue!!!!!
 
Huyu ruge c akawaoe wote. C mwislamu yule? Anachoogopa ni nini?
 
zama hana lolote na anapenda sana kuseek attention bt najua tatizo ni nini
 
Tumia Fursa Ruge waoe wote Maana wametumia fursa kufaidi matunda toka kwako na Ww tumia fursa kuwaoa sasa uache kutumia Fursa ya kukandamiza kiburudisho isivyo rasmi inaleta mgogoro atumie fursa awakandamize kiharali pasipo kificho .
 
Ukiwa teja kwani mpaka papuchi inalewa????Aparamie wanaume kwani Ruge kamjua jana?
Ray c anamfahamu Ruge siku nying kipind hicho Zamaradi anavaa satini......atulie huyo Ruge ni mali ya Umma kama hajui bas ndo ajue!!!!!

whaaattt!!?
 
ha haaa pacha umeniacha hoi etiii "mali ya umma"
 
Zamaradi nacho kinajiona cha mjiniiiii kumbe mavi tupu.aikate naniliu ya ruge aiweke kwa pochi yake awe anatembea nayo

ha ha ha nashangaa, kama angekuwa anampenda si angejituliza. kama kaenda kwa ray c ataenda hata kwa wanawake wengine zama atagombana na wangapi
 
zamaradi pole mwayego Ray C ndo habari ya mujini kwa sasa. huoni anavyopewa air time kwenye tv yenu. etii anahojiwa saa nzima mweee ----- mtupu. lakini ndo hivyo wenzio walianza siku nyingi wanapasha kiporo tu.
 
niliona somewhere kuwa kuna nadhani blog moja ya kenya imereport Rayc na huyo mkaka ni couples na waliweka na picha yao ya pamoja ambapo wapo kimahaba naona zamaradi ndio kinachomuuma roho. mwayego kaa lea mtoto wako. hivi hapo clouds mna kilanga gani kwani ni lazima hao mabosi wenu wawatafune??.
 
zamaradi pole mwayego Ray C ndo habari ya mujini kwa sasa. huoni anavyopewa air time kwenye tv yenu. etii anahojiwa saa nzima mweee ----- mtupu. lakini ndo hivyo wenzio walianza siku nyingi wanapasha kiporo tu.

ha ha chezea kipolo
 
Back
Top Bottom