Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

Niliwahi kutana nae kwenye michezo ya watoto somewhere akiwa na watoto wawili nadhani ni wake maana ni carbon copy. wanaume wengine wakiwa na vijisenti basi wao wanakuwa 'married single'....kila mwanamke anataka ampitie...tuwasubilie tu atakapodondoka mmoja ndo watajua maana ya 'tuko wangapi?'

Tanzania somo la tuko wangapi naona halijaingia akilini mwetu kabisa, watu wako tayari kupangwa foleni kisa hela. hela hiziiiii
 
Unajua kuna siku nilishangaa Ray C anahojiwa kwa clouds tv karibu saa nzima. Kabla ya hapo mida ya asubuhi Hando alisema msikose interview ya Ray c na akamsifia kwamba kwa sasa kanenepa na anaoendeza sana hasa macho na mapaja!Kumbe ukisifia mali ya bosi bosi nae anaweza kukukumbuka!. By the way Rughe hana permanent friends but permanent interests!. Wajiangalie hao madada wawili.
 
Waitwe Ikulu wakapatanishwe

LOL!,...heshima yako Zipuwawa for thinking out of the box cause this's the best our lkulu and its Mkulu can do...lol!, statement of 2013 from Zipuwawa....last nail on the coffin....and it's ready to go 6 inches under....lol!
 
Mali ya umma hiyo pacha
haina mwenyewe....sasa huyo zamarad anafyatuka kama kanywa
libeneke!!!!Atulie tuli dawa imuingie na atazid kukauka kama kalamba
cement
DEMBA

kweli kabisa pacha halafu umeiona hiyo clip ya ray c sasa si angemtaja kabisa jina 'i love you ruge' . namhurumia sana zama yaan kwa usalama wa kazi yake ni bora anyamaze tu asimkwaze bosi.
 
Last edited by a moderator:
Huyo zama atulie ray c wa long time amesahau fina mango amekaa na ruge miaka saba akaona hapaeleweki kasepa zake

Uporo hauchachi ukiwa kwenye jokofu hata miaka mia ndio ray c kakumbuka kiporo

Zama jipange mama angalia future yako na juju

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
dawa ni chungu lkn inaponya *"zama"* ptia huu udhi upone
 
et tht ni kituo cha watoto yatima mbna mnawachapa nao mtadhani watu wazima,badala ya kuwafundsha watoto wakike kuimba nyie mnawala kwanza unyumba! by sugu ant virus vol 1!
 
ndo kusema Ruge ni kidume wa mbegu? mi sijui na nuksi gani,cjawahi kugombewa wallah, sa hao wanaogombea muhogo ulio busy wanatafta nn wakati wengine iko veri availabo
 
ndo kusema Ruge ni kidume wa mbegu? mi sijui na nuksi gani,cjawahi kugombewa wallah, sa hao wanaogombea muhogo ulio busy wanatafta nn wakati wengine iko veri availabo

Nani kakwambia kinachogombewa ni muhogo bro? Hapo ni pochi lililonona tu, kama lako ni jembamba kama langu atakutaka nani?
 
Back
Top Bottom