nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Baada ya kuelewa unachosema nimecheka sana...eti vumbi stoo
Wauliza vumbi stoo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wauliza vumbi stoo?
Niliwahi kutana nae kwenye michezo ya watoto somewhere akiwa na watoto wawili nadhani ni wake maana ni carbon copy. wanaume wengine wakiwa na vijisenti basi wao wanakuwa 'married single'....kila mwanamke anataka ampitie...tuwasubilie tu atakapodondoka mmoja ndo watajua maana ya 'tuko wangapi?'
Kwani Ruge alishapata virusi ?
Tanzania somo la tuko wangapi naona halijaingia akilini mwetu kabisa, watu wako tayari kupangwa foleni kisa hela. hela hiziiiii
i can not imagine mtu kama kibonde anipe fursa aisee
Only mediocre minds will call PERSONS, ISSUES. Wait a minute, who is a celeb among the mentioned TWO? Obviously NONE and if any according to you then revise your understanding on Celebrities!!!!!
We huzipendi?
Waitwe Ikulu wakapatanishwe
Nimeamini hapendwi mtu....
Kaka yangu na miye hapo ana sura nzito; mfupi lakini watu wana fight
Mali ya umma hiyo pacha
haina mwenyewe....sasa huyo zamarad anafyatuka kama kanywa
libeneke!!!!Atulie tuli dawa imuingie na atazid kukauka kama kalamba
cement
DEMBA
ndo kusema Ruge ni kidume wa mbegu? mi sijui na nuksi gani,cjawahi kugombewa wallah, sa hao wanaogombea muhogo ulio busy wanatafta nn wakati wengine iko veri availabo