Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

Zamaradi Mketema na Ray C warushiana maneno Instagram kisa ni penzi la Ruge!

Mbona Zamaradi kwa sura yeye anaonekana wa Zamani
 
:A S-confused1::help:Ruge kama nonihino ingekuwa penseli basi nadhani yake ingekuwa imebaki ufutio kama tuhuma hizo ni za kweli.
 
But ni ngumu kwa zamaradi kujiona bora kuliko Ray c, Ray yuko juu kafanya mziki na utangazaji pia mafanikio yake ni maradufu kuliko zamaradi, Ray c kateleza japo hajaanguka ni ajali za maisha tu, yeyote yaweza kumpata
 
hizi habari za kugombania mabwana zipo kumbeeee kweli omba yasikukute
 
Tatizo Zamaradi havutii lazima ashtuke kwa RayC ,wanaume wenye pesa wanagombaniwa jamani
 
Zama mswahili jamani.........halfu mtoto wake aliozaa na rughe magzeti ya shigongo

hawajui maana wameikaushia kimya kimya wakati ni full udaku.....

Hawataandika coz rughe=shigongo=gamba. Kusoma hujui, hata picture huoni?
 
zamaradi pole mwayego Ray C ndo habari ya mujini kwa sasa. huoni anavyopewa air time kwenye tv yenu. etii anahojiwa saa nzima mweee ----- mtupu. lakini ndo hivyo wenzio walianza siku nyingi wanapasha kiporo tu.

Jamani uyo zama akipita umu jamvini na kusoma yanoandikwa naona angezimia kwa stress ha ha haaaaaaa
 
But ni ngumu kwa zamaradi kujiona bora kuliko Ray c, Ray yuko juu kafanya mziki na utangazaji pia mafanikio yake ni maradufu kuliko zamaradi, Ray c kateleza japo hajaanguka ni ajali za maisha tu, yeyote yaweza kumpata
bado kateleza hadi leo?
 
Back
Top Bottom