Inawezekana hata hii imani ni uswahili pia. Nadhani ni kutojitambua mkuu.Hivi kwa nini watu wakigombana kwa kutupiana maneno inaonekana ni 'Uswahili'? Kwa nini hasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana hata hii imani ni uswahili pia. Nadhani ni kutojitambua mkuu.Hivi kwa nini watu wakigombana kwa kutupiana maneno inaonekana ni 'Uswahili'? Kwa nini hasa?
Heeeh!!!!
Dina mjamzito?
Na hiyo mimba mhusika ni wa hapo hapo mjengoni???
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi,daaah we kibokoo,sasa umeshtuka nn wangu??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Masupa nyota wa Bongo wanagombea mali ya umma....lolUkiwa teja kwani mpaka papuchi inalewa????huyo Ruge ni mali ya Umma kama hajui bas ndo ajue!!!!!
Bwana mwenyewe wanayemgombania si ni mume wa mtu??tena bwana mwenyewe chupi mkononi, kizamaradi na kile kidomo kama kunguru vile
I disagree ni mrembo, tena black beauty na yuko fashionable.
Fashionable ya mifupa labda
Zama mswahili jamani.........halfu mtoto wake aliozaa na rughe magzeti ya shigongo
hawajui maana wameikaushia kimya kimya wakati ni full udaku.....
i can not imagine mtu kama kibonde anipe fursa aisee
You haerd ya Soud Brown isiwe bias.
Impigie ruge na kumhoji ka alishawahi ku-kwinchikwinchi na hao wawili.
pia atoe ufafanuzi wa mtoto wa Zamaradi ni wa nani.
zamaradi pole mwayego Ray C ndo habari ya mujini kwa sasa. huoni anavyopewa air time kwenye tv yenu. etii anahojiwa saa nzima mweee ----- mtupu. lakini ndo hivyo wenzio walianza siku nyingi wanapasha kiporo tu.
bado kateleza hadi leo?But ni ngumu kwa zamaradi kujiona bora kuliko Ray c, Ray yuko juu kafanya mziki na utangazaji pia mafanikio yake ni maradufu kuliko zamaradi, Ray c kateleza japo hajaanguka ni ajali za maisha tu, yeyote yaweza kumpata
Badobado kateleza hadi leo?