Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

Inafikia mahali mtu unapiga tu moyo konde!
Ya walimwengu nayo ukiyatilia manaani sana yanapotosha coz mengi yanaongelewaga tu bila ushahidi.
Weeeee sio kwa huyo bwana mkubwa aiseee!
Mhhhhh ngoja nikae kimya maana na umbea wangu wote jamaa namuogopa sana sijui kwanini!
 
We mzungu vipi kwenye thread za kiswahili......?
 
Maskini Zama, atashindana na wangapi sasa. Ruge mwenyewe nasikia ni donor, hana hiyana linapokuja swala la kuzalisha wanawake
Nadhani bibie anajua hilo ila tu anachotaka ni kuwa incharge, alafua atawaangusha mmoja baada ya mwingine......kama alivyomtungua Dina.
 
Hivi kuna watu walikuwa hawajui kuhusu hili?
Vipi Ray C ana hali gani huko aliko?
Hata hivyo wambea tunasubiri birthday ya Ruge,ndio tutajua nani ni nani.
Was lukin 4 u,ubuyu huu unadhihirisha tetes huwa kweli
 
Usikariri maisha,

Tajir namba moja dunian alioa.secretary wake, na hao ni Bill & Melinda Gates

Correction - Melinda hajawahi kuwa secretary bali Software Developer, ana degree ya Computer Science & Economics - '86 na MBA '87.
 
Weeeee sio kwa huyo bwana mkubwa aiseee!
Mhhhhh ngoja nikae kimya maana na umbea wangu wote jamaa namuogopa sana sijui kwanini!

Kuna yule chausiku alipost picha ya tuzo akasema ni tuzo ya uvumilivu anamgea Zamaradi, labda inahusiana na vurugu za Ruge!! Lol

Unajua kupenda all of a person si rahisi ila kuna vitu vichache ambavo vinaturizisha kutoka kwa mtu, nadhani hata kwa Zama nae kuna kitu ameridhia provided anakipata then its okey with her. Pengine labda anapendwa sana, anamjali ye na wanae, familia yake etc au pengine pesa we never know about mioyo!

Ila Ruge wengi wanamgwaya, ni kama mzee wa global publishers!
 
Gold digger tu huyo!hebu afukuzwe kazi kama ataweza kuandika tena hizo maneno
 
Watu wana moyo jamani?
Mie sijui nikoje?
Mimi mtu mwenye historia kama zake na fununu zile wallah hata iweje siwezi kubali........
In short wakaka wa mujini nawaogopa mnoooo!
Heri yao wenzetu.
Njoo nipo kk wa kijijini hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…