FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Kwanza Bi Old thunder sio Mama wa mtoto mmoja na wala sio wa kutoka Tanga a.k.a T.A......Bibie ni Mama wa Watoto wawili na ni Mkigoma huyo.....no research no right to speak..
Pili hizi habari sio mpya sema tu yule Sudi wao kaufyata akitekeleza zile semi zetu za "Ya kwenu mmh ya Wenzenu midomo juu" au "Kunya anye kuku akinya Bata..." au " Lake mtu halimtapishi" na kadhalika na kadhalika.