Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

Kwanza Bi Old thunder sio Mama wa mtoto mmoja na wala sio wa kutoka Tanga a.k.a T.A......Bibie ni Mama wa Watoto wawili na ni Mkigoma huyo.....no research no right to speak..

Pili hizi habari sio mpya sema tu yule Sudi wao kaufyata akitekeleza zile semi zetu za "Ya kwenu mmh ya Wenzenu midomo juu" au "Kunya anye kuku akinya Bata..." au " Lake mtu halimtapishi" na kadhalika na kadhalika.
 
Wakiongozwa Na Mmoja Anayejifanya Ni MLOKOLE Na Mwenye Maneno Ya Kiroho Hivi. Sometimes Pia Husoma News Bulletin Na Hupenda Kuweka " O " Katika Kidevu Chake. Kwake Ni Mbezi Beach Mkabala Na Massana Hospital. Huyu Nina UHAKIKA Nae Kwa 100% Kwani Dereva Wake Na Waandishi Wenzake Wamenithibitishia Hilo Lakini Hata Clouds Wenyewe Wanalijua Hilo Na Wakibisha Watakuwa WANATAKA TU KUYEYUSHA. Wapo Wengine Kama 3 Hapo Hapo. Ewe Mwenyezi Mungu Tusaidie Kizazi Hiki Na Madhila Haya.
Halafu yule ndg ana maneno mazuri ya kimungu, tangu niliposikia habar zake huwa sijishughulish tena na vipind vyake, eti Una %100?
 
Nilishalisema Hili Humu Humu JF Na Rekodi au Ushahidi KUNTU Kabisa Upo Lakini Nilipokea MATUSI Na KASHFA Za Kila Aina Sasa Baada Ya Kuthibitishiwa Hivi NAWAOMBENI WALE WOTE MLIONITUKANA NA KUNIKASHIFU MNIOMBE MSAMAHA a.k.a RADHI Vinginevyo NAMUACHIA Mwenyezi Mungu AWAHUKUMU Mmoja Mmoja. Na Hili Liwe FUNDISHO au FUNZO Kwenu Kuwa Nikija Na UZI NYETI HUMU Mjue Kuwa 99.999% Nina UHAKIKA Nao Na SIJAKURUPUKA. Nasubiri Kwa Hamu SAMAHANI Zenu.
Hahahaha.....unasubir samahan kwa ham
 
watu wanashangaa utadhani wameanza baada ya kutangaza. wana mtoto na utendaji ulikuwa mkaze.
 
Kumbe it was the dota..I thot the house dada...
jengos_children_1980.jpg


The last born seen here on the right.......she died in 2006 without enjoying her childhood....the other daughter died in June 1987
 
naskia hapo sita kwa sita ni hatariii anakata kiuno balaa halafu hawa watoto wanagombana kwa sababu wanahadithiana............

af wakitest wakikuta tamu inakuwa hatari wanaanza kupigana makonde
Ha ha ha na hakuna anaetaka kumuacha ndo kwanza wamabeba mimba tu chezea katerero iliyopanda ndege
 
sio kweli mapenzi ni hisia inakuaje kuhusanisha hisia na kazi? so ukimpenda huezi kuwa nae kisa ni boss ama mfanyakazi wako/. basi ajiri ama fanya kazi sehemu yenye jinsia moja ili usijekupa hisia za hivo

Unapoanza mahusiano na bosi wako au mfanyakazi wako wa chini ni mwanzo wa kuporomoka kwa utendaji kazi.
 
In his boyhood he did something terrible to a respected family at the "hill" by impregnating a primary school going daughter of his then foster family. Still a terrible person even in adulthood!!!
If this is true....it will hunt in all his life...he will always feel guilt every time he goestl to bed and when he wakes up..pathetic. But how did the saga end? Au mshua alimsapoti maana ni heavy weight yuleee.....
 
Wakiongozwa Na Mmoja Anayejifanya Ni MLOKOLE Na Mwenye Maneno Ya Kiroho Hivi. Sometimes Pia Husoma News Bulletin Na Hupenda Kuweka " O " Katika Kidevu Chake. Kwake Ni Mbezi Beach Mkabala Na Massana Hospital. Huyu Nina UHAKIKA Nae Kwa 100% Kwani Dereva Wake Na Waandishi Wenzake Wamenithibitishia Hilo Lakini Hata Clouds Wenyewe Wanalijua Hilo Na Wakibisha Watakuwa WANATAKA TU KUYEYUSHA. Wapo Wengine Kama 3 Hapo Hapo. Ewe Mwenyezi Mungu Tusaidie Kizazi Hiki Na Madhila Haya.
Duu kumbe ni jirani yangu huyo..nimeshamjua tunagongana sana pale ze vellage supermarker shamo tower..anachonga "o" na muda wote ananukia manukato makali
 
Sipati picha kama Diva ndo angekua concubine wa ruge, uwiiiiiiii jamani tungekoma aisehh, mwacheni tu zamaradi ajilie vyake yule dada hanaga makuu, anaishi maisha ya kifahari ila hanaga mashauzi na mtu na benz lake mwenyewe la miaka ya tisini
 
Kisa cha kuweka wazi uhusiano kuna kabint Kanatishia kupindua Serikali ya Zama na kinanata na kujitapa na tetesi ikawa Zama amemwagwa nadhan anawaprove wrong wabaya wake
 
Back
Top Bottom