youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Usikariri maisha,
Tajir namba moja dunian alioa.secretary wake, na hao ni Bill & Melinda Gates
Mnaweza 'mkapendana na kutendana' bila kuathiri utendaji wenu wa kazi as long as hamko idara moja...Unapoanza mahusiano na bosi wako au mfanyakazi wako wa chini ni mwanzo wa kuporomoka kwa utendaji kazi.
Wakiongozwa Na Mmoja Anayejifanya Ni MLOKOLE Na Mwenye Maneno Ya Kiroho Hivi. Sometimes Pia Husoma News Bulletin Na Hupenda Kuweka " O " Katika Kidevu Chake. Kwake Ni Mbezi Beach Mkabala Na Massana Hospital. Huyu Nina UHAKIKA Nae Kwa 100% Kwani Dereva Wake Na Waandishi Wenzake Wamenithibitishia Hilo Lakini Hata Clouds Wenyewe Wanalijua Hilo Na Wakibisha Watakuwa WANATAKA TU KUYEYUSHA. Wapo Wengine Kama 3 Hapo Hapo. Ewe Mwenyezi Mungu Tusaidie Kizazi Hiki Na Madhila Haya.
I dont think it is right kwasababu hujawahi kuprove embu endelea kufanya utafiti mengine ni maneno ya watu tuu kila siku yapo..binafsi namfahamu kidogo huyu jamaaa na sinawasisi kama siyo riziki.Wakiongozwa Na Mmoja Anayejifanya Ni MLOKOLE Na Mwenye Maneno Ya Kiroho Hivi. Sometimes Pia Husoma News Bulletin Na Hupenda Kuweka " O " Katika Kidevu Chake. Kwake Ni Mbezi Beach Mkabala Na Massana Hospital. Huyu Nina UHAKIKA Nae Kwa 100% Kwani Dereva Wake Na Waandishi Wenzake Wamenithibitishia Hilo Lakini Hata Clouds Wenyewe Wanalijua Hilo Na Wakibisha Watakuwa WANATAKA TU KUYEYUSHA. Wapo Wengine Kama 3 Hapo Hapo. Ewe Mwenyezi Mungu Tusaidie Kizazi Hiki Na Madhila Haya.
atakua mama kapewa ile kitu ya bukoba special aka kat...r...r...o!!!!
Hivi ugomvi wa Dina na Zamaradi ukoje.Alianza Dinna Marios uzuri Dinna sasa hivi akamatiki tena
Ndo kitengo gani?Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji..... mwenye share nyingi ni JOH 65% dhidi ya 35% za RUGE...
Ila huyo Ruge huwa kuna tuhuma za chinichini kuwa ni mtu wa kitengo pale kwa Wang'oa kucha...
Otherwise ni mfanyabiashara mjanjamjanja kwani ndo mtafta michongo yote ya kampuni huku Joh akisubiri mgao wake huko DUBAI.