Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

Zamaradi Mketema na Ruge Mutahaba waanika mahusiano yao ya kimahaba

Mi hao watangazaji wa clouds wanavojishebeduaga redioni utafikiri ni masupastaa wazuriiii kumbe mweh!
 
Haina haja ya kuyaongelea mahusiano ya watu cause as long wao hawaathiri sehemu ya utendaji kazi wenu just tuwaache wawe huru na mapenzi yao.
 
Watoto wawili. Hata ningekua mimi lazima nijilipue tu. Wafunge ndoa tu sasa kabla hawajachokana.
 
mkuu una ubuyu mzito
Wakiongozwa Na Mmoja Anayejifanya Ni MLOKOLE Na Mwenye Maneno Ya Kiroho Hivi. Sometimes Pia Husoma News Bulletin Na Hupenda Kuweka " O " Katika Kidevu Chake. Kwake Ni Mbezi Beach Mkabala Na Massana Hospital. Huyu Nina UHAKIKA Nae Kwa 100% Kwani Dereva Wake Na Waandishi Wenzake Wamenithibitishia Hilo Lakini Hata Clouds Wenyewe Wanalijua Hilo Na Wakibisha Watakuwa WANATAKA TU KUYEYUSHA. Wapo Wengine Kama 3 Hapo Hapo. Ewe Mwenyezi Mungu Tusaidie Kizazi Hiki Na Madhila Haya.
 
I dont think it is right kwasababu hujawahi kuprove embu endelea kufanya utafiti mengine ni maneno ya watu tuu kila siku yapo..binafsi namfahamu kidogo huyu jamaaa na sinawasisi kama siyo riziki.
atakua mama kapewa ile kitu ya bukoba special aka kat...r...r...o!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe bosi Ruge kanyang'anywa kazi! Itabidi atafute kazi sehemu nyingine.
 
Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji..... mwenye share nyingi ni JOH 65% dhidi ya 35% za RUGE...

Ila huyo Ruge huwa kuna tuhuma za chinichini kuwa ni mtu wa kitengo pale kwa Wang'oa kucha...

Otherwise ni mfanyabiashara mjanjamjanja kwani ndo mtafta michongo yote ya kampuni huku Joh akisubiri mgao wake huko DUBAI.
Ndo kitengo gani?
 
Once upon time.....
9fb6371434a6d7c26fbde0a2bda76714.jpg
 
Back
Top Bottom