Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, kinachorushwa kupitia Clouds TV, Zamaradi Mketema Zama amefunguka kuwa , ataongeza tena watoto kwani tangu amejifungua mtoto wa pili ameona nyumba imekuwa na raha sana .
Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, kinachorushwa kupitia Clouds TV ,
Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Zamaradi alisema , ameshangazwa na furaha iliyotawala kwake na mzazi mwenzake na kwamba siku si nyingi atabeba mimba nyingine mbili fasta .
Yaani watoto ni furaha kubwa , mimi nitaongeza tena wawili wa haraharaka maana nimegundua kuna kitu kinaongezeka kila unapoongeza mtoto mwingine ndani ya nyumba ikiwa ni pamoja na baraka , alisema Zamaradi .