Zamaradi mketema: Naongeza tena watoto wawili

Zamaradi mketema: Naongeza tena watoto wawili

CHeusi dawa we zaa tu kwa raha zako maana siku zako zinahesabika, jitahid uache copy za kutosha
 
CHeusi dawa we zaa tu kwa raha zako maana siku zako zinahesabika, jitahid uache copy za kutosha

Wema kaamua kutokuzaa tasa,zamaradi kaamua kuzaa vurugu .binadamu bwana sijui ufanye nini.
 
Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, kinachorushwa kupitia Clouds TV, Zamaradi Mketema ‘ Zama ’ amefunguka kuwa , ataongeza tena watoto kwani tangu amejifungua mtoto wa pili ameona nyumba imekuwa na raha sana .
Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, kinachorushwa kupitia Clouds TV ,

Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Zamaradi alisema , ameshangazwa na furaha iliyotawala kwake na mzazi mwenzake na kwamba siku si nyingi atabeba mimba nyingine mbili fasta .
“Yaani watoto ni furaha kubwa , mimi nitaongeza tena wawili wa haraharaka maana nimegundua kuna kitu kinaongezeka kila unapoongeza mtoto mwingine ndani ya nyumba ikiwa ni pamoja na baraka , ” alisema Zamaradi .


zaa mwanakwetu...
mwanamke bila mtoto ni sawa na mgomba bila mkungu.

CC: Wema na washambenga wake
 
Wema kaamua kutokuzaa tasa,zamaradi kaamua kuzaa vurugu .binadamu bwana sijui ufanye nini.

Nakuunga mkono mdau,wabongo gunaongea sana hasa mambo ya kijinga kuliko kuongea sana katika mambo ya ukweli,kwa jinsi hali ilivo sasa hakunantofauti kati ya wanaume na wanawake,tunavaa sawa,tunaongea na kufikiri sawa,na baya zaidi tunamajungu sawa,aibu,hiki ni kizazi cha hovyo kuliko vizazi vyote kutokea japo tunajiona tumeendelea sana,huyu mmama aliongea yaliyomkuta na hakumaanisha haya tunaongea,kuzaa ama kutozaa ni mambo binafsi ya mtu,ni aibu hata kulileta humu,sasa mtu anasema acha alegeze uchi bila kujiuliza km mama ake alishazaa na je yeye tuseme alilegeza uchi?,ni aibu sana kizazi,
 
Back
Top Bottom