Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatutafuta maneno huyu kimbau mbau mxiuuu
CHeusi dawa we zaa tu kwa raha zako maana siku zako zinahesabika, jitahid uache copy za kutosha
CHeusi dawa we zaa tu kwa raha zako maana siku zako zinahesabika, jitahid uache copy za kutosha
Wema kaamua kutokuzaa tasa,zamaradi kaamua kuzaa vurugu .binadamu bwana sijui ufanye nini.
Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, kinachorushwa kupitia Clouds TV, Zamaradi Mketema Zama amefunguka kuwa , ataongeza tena watoto kwani tangu amejifungua mtoto wa pili ameona nyumba imekuwa na raha sana .
Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, kinachorushwa kupitia Clouds TV ,
Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Zamaradi alisema , ameshangazwa na furaha iliyotawala kwake na mzazi mwenzake na kwamba siku si nyingi atabeba mimba nyingine mbili fasta .
Yaani watoto ni furaha kubwa , mimi nitaongeza tena wawili wa haraharaka maana nimegundua kuna kitu kinaongezeka kila unapoongeza mtoto mwingine ndani ya nyumba ikiwa ni pamoja na baraka , alisema Zamaradi .
Wema kaamua kutokuzaa tasa,zamaradi kaamua kuzaa vurugu .binadamu bwana sijui ufanye nini.
Mtoto kwa kufukua makaburi wewehehehe naona kaamua kuongeza dushe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto kwa kufukua makaburi wewe