Mo nampenda venye alivo... Nimemjua toka tukiwa tunafanya audition za c2c that time mwaka 2007... Kipindi chake ni kizuri na io ndo strategy yake.. So shut the ---- up... Kuna tatizo kwani????? Hakuna aliyekulazimisha kutizama take one..
Zamardi hakuna kitu kabisaaaaaaaaa! Anapenda kuwauliza watu maswali ya kuchonoa wenzao ili waropoke afu anawaita waliotuhumiwa waropoke nao! Afu roho yake ndo inarizika. Juzi juzi kaleta beef kati ya Sintah na Shilole kwenye ishu ya kipuuzi!
Kipindi chake ushambenga shambenga hakuna hata kinachochangia kwenye jamii! GO BACK TO SCHOOL ZAMA TO LEARN JOURNALISM ETHICS AND VALUES!!!!!!!!!!
Juzi kawapambanisha SINTAH na SHILOLE kwa ishu ya upuuzi! Media zitumike kwa mbambo ya msingi!
hahahaha
Itupie hapa mkuu tumjue
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

anafanana na monitress wa mjengoni dodoma
itupie hapa mkuu tumjue
sent from my blackberry 9220 using jamiiforums
Itupie hapa mkuu tumjue
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Clouds wameamua kuwa TABLOIDS TV
Wema anakuja na kipindi chake ambacho kina so many 'staged fights'
na Irene Uwoya pia wamemchukua ana kipindi chake..
so labda Zamaradi anafuata maelekezo ya 'producers wa clouds'
Its all about the market waliyoichagua..
tazama bibi bomba uone how stupids it is but yet ina audience tayari
EATV is a bit classy TV ....wasingeruhusu kina Shilole wasutane ovyo ovyo...
samahani the BOSS!KUNA MAHALI HUWA NAKUONAGAA NA SAME PICTURE ETI MUDDY WA WASHINGTON NDO SAME SAME?..NAULIZA TU NDUGU YANGU USINIELEWE VIBAYA!