Zamaradi Mketema ni Mnafiki na Mchochezi Anaanzisha Ma Beef Kati ya Wasanii Kujipandisha Chati!

Mo nampenda venye alivo... Nimemjua toka tukiwa tunafanya audition za c2c that time mwaka 2007... Kipindi chake ni kizuri na io ndo strategy yake.. So shut the ---- up... Kuna tatizo kwani????? Hakuna aliyekulazimisha kutizama take one..
 
ina maana kina lenga kuchonganisha watu hili kiendelee kupendwa.
 
Zamardi hakuna kitu kabisaaaaaaaaa! Anapenda kuwauliza watu maswali ya kuchonoa wenzao ili waropoke afu anawaita waliotuhumiwa waropoke nao! Afu roho yake ndo inarizika. Juzi juzi kaleta beef kati ya Sintah na Shilole kwenye ishu ya kipuuzi!

Kipindi chake ushambenga shambenga hakuna hata kinachochangia kwenye jamii! GO BACK TO SCHOOL ZAMA TO LEARN JOURNALISM ETHICS AND VALUES!!!!!!!!!!

Juzi kawapambanisha SINTAH na SHILOLE kwa ishu ya upuuzi! Media zitumike kwa mbambo ya msingi!

Clouds wameamua kuwa TABLOIDS TV
Wema anakuja na kipindi chake ambacho kina so many 'staged fights'
na Irene Uwoya pia wamemchukua ana kipindi chake..
so labda Zamaradi anafuata maelekezo ya 'producers wa clouds'

Its all about the market waliyoichagua..
tazama bibi bomba uone how stupids it is but yet ina audience tayari

EATV is a bit classy TV ....wasingeruhusu kina Shilole wasutane ovyo ovyo...
 
kumbe naye ni celebrity!
 
Itachukua karne Clouds tv kuifikia EATV! hata kipindi Channel 5 inaanza ilikuwa class kuliko Clouds tv hii ya leo 2013.
 
Itupie hapa mkuu tumjue

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

10126_137632433900_616428900_2484985_801462_n.jpg
 
sasa hivi kawapambanisha Jack wa chuzi, Kabula na Mariam aliyeibiwa mume (eti mume nae anaibwa?) imekuwa nguo au viatu?
 
Jamani daDA lara1 HAPO kidogo napingana na wewe,why....ni kwamba ZAMA akisikia hao wasanii wamerushiana vijembe huko kwingine iwe kwenye magazeti ama mtaai ndo nae anawaita ili kuwasikia live kwamba kulikoni....halafu mbona kawaida sana hata mambele mambo hayo yapo na ndo yanayopendwaa na rik la kazi halafu ndo business!....
my take!kwa asiyeipenda Clouds narudia tena kwa mara ya 50 usitune tu sikiliza wapo radio au tumaini why bothering?
 
clouds hakuna kitu pumba tupu.bado awajajipanga kpnd kama bibi bomba wanawadhalilisha mama zetu .EATV channel ya kijanja
 
Clouds wameamua kuwa TABLOIDS TV
Wema anakuja na kipindi chake ambacho kina so many 'staged fights'
na Irene Uwoya pia wamemchukua ana kipindi chake..
so labda Zamaradi anafuata maelekezo ya 'producers wa clouds'

Its all about the market waliyoichagua..
tazama bibi bomba uone how stupids it is but yet ina audience tayari

EATV is a bit classy TV ....wasingeruhusu kina Shilole wasutane ovyo ovyo...

samahani the BOSS!KUNA MAHALI HUWA NAKUONAGAA NA SAME PICTURE ETI MUDDY WA WASHINGTON NDO SAME SAME?..NAULIZA TU NDUGU YANGU USINIELEWE VIBAYA!
 
Ni mwandishi wa habari professional au walewale wa unga unga mwana?? Ni maarufu sana Bongo eenh mbona mimi ndiyo namsikia hapa??

Anatangaza kipindi gani? Saa ngapi na lini??
 
samahani the BOSS!KUNA MAHALI HUWA NAKUONAGAA NA SAME PICTURE ETI MUDDY WA WASHINGTON NDO SAME SAME?..NAULIZA TU NDUGU YANGU USINIELEWE VIBAYA!

nashkuru umeniuliza
mimi siyo huyo uliemtaja
mimi nilianza tumia hii avatar zamani mno
kabla huo mtandao wa Mange haujawa na members wenye avatar
huyo uliemtaja zamani alikuwa ana kawaida ya kuchukua threads zangu humu
na kwenda kuziweka kule kwa Mange...
so confusion ipo kwa wasiioelewa
 
Hao wanaochonganishwa kwani hawana akili? Au ni watoto wadogo...kile kipindi tu...jamani!!! Daah
 
Back
Top Bottom