Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 338
Nakubaliana na wewe Zamaradi ni mchonganishi hana jipyaZamardi hakuna kitu kabisaaaaaaaaa! Anapenda kuwauliza watu maswali ya kuchonoa wenzao ili waropoke afu anawaita waliotuhumiwa waropoke nao! Afu roho yake ndo inarizika. Juzi juzi kaleta beef kati ya Sintah na Shilole kwenye ishu ya kipuuzi! Kipindi chake ushambenga shambenga hakuna hata kinachochangia kwenye jamii! GO BACK TO SCHOOL ZAMA TO LEARN JOURNALISM ETHICS AND VALUES!!!!!!!!!! Juzi kawapambanisha SINTAH na SHILOLE kwa ishu ya upuuzi! Media zitumike kwa mbambo ya msingi!
nashkuru umeniuliza
mimi siyo huyo uliemtaja
mimi nilianza tumia hii avatar zamani mno
kabla huo mtandao wa Mange haujawa na members wenye avatar
huyo uliemtaja zamani alikuwa ana kawaida ya kuchukua threads zangu humu
na kwenda kuziweka kule kwa Mange...
so confusion ipo kwa wasiioelewa
Jamani daDA lara1 HAPO kidogo napingana na wewe,why....ni kwamba ZAMA akisikia hao wasanii wamerushiana vijembe huko kwingine iwe kwenye magazeti ama mtaai ndo nae anawaita ili kuwasikia live kwamba kulikoni....halafu mbona kawaida sana hata mambele mambo hayo yapo na ndo yanayopendwaa na rik la kazi halafu ndo business!....
my take!kwa asiyeipenda Clouds narudia tena kwa mara ya 50 usitune tu sikiliza wapo radio au tumaini why bothering?
View attachment 105720
ruge na zamaradi..
baba mtoto ndo huyo ?:A S-confused1:
SASA HIYO AVATAR ni ya mtu marufu au ni ndugu yenu?nashkuru umeniuliza
mimi siyo huyo uliemtaja
mimi nilianza tumia hii avatar zamani mno
kabla huo mtandao wa Mange haujawa na members wenye avatar
huyo uliemtaja zamani alikuwa ana kawaida ya kuchukua threads zangu humu
na kwenda kuziweka kule kwa Mange...
so confusion ipo kwa wasiioelewa
SASA HIYO AVATAR ni ya mtu marufu au ni ndugu yenu?
sasa acipofanya vile bosi anavyotaka na boci ndo baba mtoto itakuwaje?
Jamani daDA lara1 HAPO kidogo napingana na wewe,why....ni kwamba ZAMA akisikia hao wasanii wamerushiana vijembe huko kwingine iwe kwenye magazeti ama mtaai ndo nae anawaita ili kuwasikia live kwamba kulikoni....halafu mbona kawaida sana hata mambele mambo hayo yapo na ndo yanayopendwaa na rik la kazi halafu ndo business!....
my take!kwa asiyeipenda Clouds narudia tena kwa mara ya 50 usitune tu sikiliza wapo radio au tumaini why bothering?
zamaradi ni mtangazaji asiyefikiri kila anacho kifanya maana baada ya kukuza tasnia yeye anakuza beef sijui hili apate faida gani,ni mvivu wa kufikiri pekee anayeweza kuruhusu tv station yake kutumika kutukanana na kukashifiana. na alivyo mvivu wa kufikiri anawapa airtime watukanane
Cha kushangaza zaidi yeye ndiye anasababisha warushiane maneno badala ya kuwasuluhisha.
Wasanii nao wanashindwa kujua kuwa wanagombanishwa.
Muke Ya ruge uyooo so anafanya amachojisikia
clouds hakuna kitu pumba tupu.bado awajajipanga kpnd kama bibi bomba wanawadhalilisha mama zetu .EATV channel ya kijanja
Zamardi hakuna kitu kabisaaaaaaaaa! Anapenda kuwauliza watu maswali ya kuchonoa wenzao ili waropoke afu anawaita waliotuhumiwa waropoke nao! Afu roho yake ndo inarizika. Juzi juzi kaleta beef kati ya Sintah na Shilole kwenye ishu ya kipuuzi!
Kipindi chake ushambenga shambenga hakuna hata kinachochangia kwenye jamii! GO BACK TO SCHOOL ZAMA TO LEARN JOURNALISM ETHICS AND VALUES!!!!!!!!!!
Juzi kawapambanisha SINTAH na SHILOLE kwa ishu ya upuuzi! Media zitumike kwa mbambo ya msingi!
inawezekana kabisa!!baba mtoto ndo huyo ?:a s-confused1:
Tena huko kipindi ckipendi kuliko maelezo! Hivi hamna creativity mpaka kuanzisha kipindi cha kudharaulisha mama zetu? You guys sucks
Uhuru wa media, si unatune tv inhine tu kwani mda wote uko kwa clouds tv? Udaku ndio unapendwa sana na watz wengi. Bussiness inaangalia need of customers
Mo nampenda venye alivo... Nimemjua toka tukiwa tunafanya audition za c2c that time mwaka 2007... Kipindi chake ni kizuri na io ndo strategy yake.. So shut the ---- up... Kuna tatizo kwani????? Hakuna aliyekulazimisha kutizama take one..