Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 338
Nakubaliana na wewe Zamaradi ni mchonganishi hana jipyaZamardi hakuna kitu kabisaaaaaaaaa! Anapenda kuwauliza watu maswali ya kuchonoa wenzao ili waropoke afu anawaita waliotuhumiwa waropoke nao! Afu roho yake ndo inarizika. Juzi juzi kaleta beef kati ya Sintah na Shilole kwenye ishu ya kipuuzi! Kipindi chake ushambenga shambenga hakuna hata kinachochangia kwenye jamii! GO BACK TO SCHOOL ZAMA TO LEARN JOURNALISM ETHICS AND VALUES!!!!!!!!!! Juzi kawapambanisha SINTAH na SHILOLE kwa ishu ya upuuzi! Media zitumike kwa mbambo ya msingi!