Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

Yap kipindi kile Ruge yupo na yule binti.Tena Zama ndo alikuwa kajifungua Shubi,huku yulr demu mwingine wa Ruge akiwa na Mimba.Ila Zama kavumilia mengi kwa Ruge,kisa tu apewe maisha.
Na yule dd alijua kumtambia zama, alikua mkorofi sn.
 
Waje tutaenda nao sambamba tu waache unaafiki
Zamaradi huyu alifanya tuone mabebi zote msingi kende tu Kwa kumuweka Kwa mabango mmewe na Bado haitoshi,kadanganya kannuliwa range na mmewe kumbe bwana kauza nyumba..nyie nyie[emoji3526][emoji3526][emoji119][emoji119][emoji119]maisha ya [emoji119] mtandaoni mabaya sana...!!!mpk kampuni anamsifu mmewe this mmewe that tukitongozwa tunataka waume kama waroli modo wetu au tunawaona waume zetu kama nguruwee vile...chaaa...kumbe mikopo ya mabenki hukoo,wanauza majumba kufurahisha walimwengu..hii Dunia hii acha kabisaaaa
maisha ya maceleb ni ya stress sana[emoji2][emoji2][emoji2].

sasa unataka utufanyie yote haya ili kutukomoa au kutupa motisha!!!!
 
Yn dina awashukuru sn watu wa insta sbb hao clouds walikua bdo wana mkataba nae lkn kipindi hawampi. Kuna siku dina alipost akaongelea tabia ya mtu kwenda kwa boss na kuanza kumsema mfanyakazi mwingine na kumpikia majungu. Ss ktk coment watu wakatiririka na kumtag Zama, watu wakaenda hadi page ya zama wakachamba wakaenda page ya clouds wakachachamba. Na baada ya kile kichambo kesho yake dina akatambulishwa E fm. Yani kile kichambo ndo kilimfanya ruge amuachie huru kwenda sehemu nyingine
Mbea mwenzangu ubongo wako uko fresh una kumbukumbu aliandika hvi,kimbwa Cha boss nakumbuka[emoji1][emoji1][emoji1]kizungu Tena mpk Zama alijibu siku hyooo
 
Kufanya kazi kwa matajiri wa aina hii ni majanga. Kuna wengine wanalipa wafanyakazi wao mishahara ya ajabu kila mfanyakazi na siku yake ya kupewa mshahara. Cha ajabu unamuendea CEO akupe mshahara anakupa chenji zilizoko mfukoni mwake. Mbaya zaidi hizo chenji hazitimii mshahara kamili, unaweza ukapewa buku, buku mbili ukale ugali gengeni kwa mama lishe hela zingine unaambiwa utapewa kesho zilizobaki. Mwisho unaweza kufukuzwa kazi kwa kupakaziwa kosa ili tu usilipwe. Hawa watu binafsi ni hatari kuwafanyia kazi hawalipi ipasavyo
 
Njaa mbaya sana kwa kweli.Wote walitoka na Ruge ni ilikuwa ili awatoe kimaisha. Angalia Nandi pia. Sema wameachiwa ngoma.
Duu wewewe ruge alikuwa + nakumbuka mzee home aliniambia yule alikuwa + na ndio ugonjwa uliompeleka.
Sasa Na kina Nandi walikuwa nao huo.
Au????
 
Mbea mwenzangu ubongo wako uko fresh una kumbukumbu aliandika hvi,kimbwa Cha boss nakumbuka[emoji1][emoji1][emoji1]kizungu Tena mpk Zama alijibu siku hyooo
Eeh zama alijibu ndio, na huko kujibu kwake ss ndo kukawafanya watu wazidi kumchamba.
 
Ukinywa dawa vzr unakua undetected!!!!
Yaweza kua wazima pia
Najua lkn kama ndicho kilichomuua inamaana dawa zilifeli na kama zikifeli wadudu watakuwa dictated na kuambukiza pia.
Au vipi hapo.

Lbd walikuwa wanatumia Condom
 
Shida mna penda umbea na kufatilia maisha ya watu.
[emoji117]Hi inshu Mbona amesha I address, na kaweka ushahidi kuwa dogo Ali achishwa kazi.
Zamarad amejichanganya, anapenda cheap labour. Na kwa maelezo yake huyu dada ni mbinsfsi, mwenye kiherehere, tamaa na mjinga sana. Hawez kufika mbali.
KUMBUKA KILA DHAMBI UNAYOFANYA SIRINI KUNA SIKU ITAWEKWA HADHARANI. NDICHO KILICHOMPATA

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom