reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Najua lkn kama ndicho kilichomuua inamaana dawa zilifeli na kama zikifeli wadudu watakuwa dictated na kuambukiza pia.
Au vipi hapo.
Lbd walikuwa wanatumia Condom
Hakuna Cha condoms hapo mpk kuzaa kabisaaNajua lkn kama ndicho kilichomuua inamaana dawa zilifeli na kama zikifeli wadudu watakuwa dictated na kuambukiza pia.
Au vipi hapo.
Lbd walikuwa wanatumia Condom