Zamaradi Mketema: Watanzania tulirogwa na nani?

Mtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram zamaradi amesema,

"Msanii wa NIGERIA akikosa tuzo ama hata kushindwa kwenye shindano lolote unayaona kabisa maumivu ya WANIGERIA, wananchi wao huumia kutoka moyoni, Njoo huku kwetu sasa, MSANII akikosa Tuzo ama shindano lolote ndio unapoishuhudia wazi kabisa FURAHA ya Watanzania, kiufupi kushindwa kwa wasanii wetu ni furaha na Vigelegele kwetu huku vicheko na maneno ya Dhihaka yakisindikiza kushindwa kwao, hivi somo la UZALENDO limekuwa Gumu kiasi hiki Tanzania!!!? WENZETU WAMEWEZAJE!!? Na sisi Tulirogwa na nani!!!??" - Mketema

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Ufisadi,wizi,uonevu, unaondoa uzalendo was kizazi chetu na kijacho!!
 
Yeye ndiye anatakiwa atuambie karogwa na nani hadi anafikia hatua ya kuwa chawa wa CCM!
 
Ruge alipompoteza Zamaradi alifanya jitihada ya kumtafuta na kumpigia simu ambapo kwenye simu hiyo, Ruge alisikika akilia akimuomba Zamaradi asimuache, lakini Zamaradi akavujisha mazungumzo yao na kilio cha Ruge kwa rafiki zake au mitandaoni...Je, Zamaradi alirogwa na nani?
Duuuh kumbe ilikua hivi aseee
 
Mtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram zamaradi amesema,

"Msanii wa NIGERIA akikosa tuzo ama hata kushindwa kwenye shindano lolote unayaona kabisa maumivu ya WANIGERIA, wananchi wao huumia kutoka moyoni, Njoo huku kwetu sasa, MSANII akikosa Tuzo ama shindano lolote ndio unapoishuhudia wazi kabisa FURAHA ya Watanzania, kiufupi kushindwa kwa wasanii wetu ni furaha na Vigelegele kwetu huku vicheko na maneno ya Dhihaka yakisindikiza kushindwa kwao, hivi somo la UZALENDO limekuwa Gumu kiasi hiki Tanzania!!!? WENZETU WAMEWEZAJE!!? Na sisi Tulirogwa na nani!!!??" - Mketema

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 [emoji3578]
Mwijaku yule mkongomanj ndio ananya yote hayo
 
Ruge alipompoteza Zamaradi alifanya jitihada ya kumtafuta na kumpigia simu ambapo kwenye simu hiyo, Ruge alisikika akilia akimuomba Zamaradi asimuache, lakini Zamaradi akavujisha mazungumzo yao na kilio cha Ruge kwa rafiki zake au mitandaoni...Je, Zamaradi alirogwa na nani?
Ilisikitisha sana...Wanawake wengine nuksi kwelikweli
 
Ni watanzania hao hao wanaosikiliza na kupush nyimbo za wasanii daily ni watanzania hao hao ambao wameamua kuipa kipaumbele NBC premier league kuliko epl
Huyu Zamaradi karogwa na nani!?
Je utajili wa diamond na harmonize ni 100% kutoka nje
 
Back
Top Bottom