Zamaradi Mketema: Watanzania tulirogwa na nani?

Yeye alivo weka hawara yake kwenye mabango barabarani,
analizungumziaje?
 
Ufisadi,wizi,uonevu, unaondoa uzalendo was kizazi chetu na kijacho!!
 
Yeye ndiye anatakiwa atuambie karogwa na nani hadi anafikia hatua ya kuwa chawa wa CCM!
 
Duuuh kumbe ilikua hivi aseee
 
Aanzishe kipindi cha Uzalendo kwenye Zamaradi TV yake angesaidia Sana na sio kuja kutugombeza hovyo mitandaoni kama tunaendaga maliwatoni kwake.
Duuuuh
 
Mwijaku yule mkongomanj ndio ananya yote hayo
 
Ilisikitisha sana...Wanawake wengine nuksi kwelikweli
 
Ni watanzania hao hao wanaosikiliza na kupush nyimbo za wasanii daily ni watanzania hao hao ambao wameamua kuipa kipaumbele NBC premier league kuliko epl
Huyu Zamaradi karogwa na nani!?
Je utajili wa diamond na harmonize ni 100% kutoka nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…