Zambia anafungwa na Morocco , Tanzania tunamfunga Congo, bado tuna nafasi kubwa tu

Kama tumeshindwa Kwa Zambia ambae alikua pungufu na mchezo tumeushika mwanzo mwisho ndio ukashinde kwa Congo alie na moto namna ile [emoji848][emoji848] acha masikhara wewe

Amini usiamini
 
Haya ni mambo ya imani na maajabu tz kupenya hatua inayofuata, uhalisia ni kwamba tayari imeyaaga mashindano, hiyo mechi yake na congo ni ya kukamilisha ratiba tu. Hilo kundi F ni morocco na congo ndio zimesonga mbele.
 
Wewe nae ni mvuta bangi kama wavuta bangi wengine tuu,kwendraaaaaa
 
Haya ni mambo ya imani na maajabu tz kupenya hatua inayofuata, uhalisia ni kwamba tayari imeyaaga mashindano, hiyo mechi yake na congo ni ya kukamilisha ratiba tu. Hilo kundi F ni morocco na congo ndio zimesonga mbele.

Believe or not
 
Mlituambia Zambia ana points zenu 3,leo tena mmehamia kwa DRC!
 
Hujakosea ndugu nafasi ya kuendelea kushika mkia kwenye kundi F bado tunayo
 
Jana Zambia tulishamulekeza qibla ilikuwa kusha kisu lakini tukashindwa kumchinjs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…