Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nae ni mvuta bangi kama wavuta bangi wengine tuu,kwendraaaaaaSalaam
Imani bado tunayo na ni kubwa mno, makosa tumeyaona na tunaenda kuyafanyia kazi na hatuna haja ya kuwalaumu wachezaji kwani ni sehemu tu ya mchezo na kawaida kwenye mashindano yoyote yalee
Tunapita hatua ya makundi Tanzania bila shaka yeyote
Ilikuwa tusipewe furaha leo na tupewe furaha kubwa mechi ya mwisho, ni bora furaha mwishoni kuliko kufurahi leo alaf kutolewa kwa kufungwa mechi ya mwisho
Nafasi bado tunayo, tuendelee kuiombea timu yetu pendwa TAIFA STARS [emoji1241]
Hujakosea ndugu nafasi ya kuendelea kushika mkia kwenye kundi F bado tunayoSalaam
Imani bado tunayo na ni kubwa mno, makosa tumeyaona na tunaenda kuyafanyia kazi na hatuna haja ya kuwalaumu wachezaji kwani ni sehemu tu ya mchezo na kawaida kwenye mashindano yoyote yalee
Tunapita hatua ya makundi Tanzania bila shaka yeyote
Ilikuwa tusipewe furaha leo na tupewe furaha kubwa mechi ya mwisho, ni bora furaha mwishoni kuliko kufurahi leo alaf kutolewa kwa kufungwa mechi ya mwisho
Nafasi bado tunayo, tuendelee kuiombea timu yetu pendwa TAIFA STARS [emoji1241]
Jana Zambia tulishamulekeza qibla ilikuwa kusha kisu lakini tukashindwa kumchinjs.Salaam