Zambia: Binti afungua kesi dhidi ya mpenzi wake kwa kuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka 8 bila kumuoa

Fidia toka kwa choka mbaya, jobless.
 
Kwani wakati tunaahidiana ndoa tuliandikishana...kuna ushahidi?
 
Apambane na hali,court haiwezi msaidia kitu na kuoa ni goodwill ya mtu wala sio lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…