Hii hata hapa nyumbani Tanzania iko applicable, ni vile tu wengi wetu hatuzifahamu Sheria za ndoa na wala hatujisumbui kutaka kuzifahamu walau kwa uchache wake.
Kwa hapa unaweza kufungua kesi basing on "breach of a promise to marry", ambayo ndiyo itakuwa cause of action ya mlalamikaji.
Kwamba mwanamke unaaminishwa na mwanaume utaolewa, unaweka mategemeo yako yote kwake, baadaye anaingia mitini. Ukiwa na mwanasheria mzuri utapata fidia kubwa sana kutoka kwa mlalamikiwa (mwanaume).
Karibuni mnunue Kitabu cha Sheria nilichowaandikia, mahususi kwa wasomaji wasio wanasheria na wanasheria wachanga.
I humbly submit.