Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

Hata watalii itawachukua muda kuja humu nchini pale janga hili litakapokuwa limetoweka duniani.
 
Japo Watz hulia sana dhidi ya Kenya, lakini naona wamefungiwa na majirani wote hadi wale wao huwaita ndugu wa damu kule SADC, hii yote imetokana na kukaidi kwao kuchukua tahadhari na kuendelea kushupaza shingo huku wakishikilia mambo yasiyo na misingi ya kisayansi, ndugu zetu mtaendelea kutengwa sana kwenye hili la kuogelea ndani ya kirusi huku mkikaidi taratibu zilizoshauriwa na wataalam duniani.
WHO wamewasema sana kwa hili la ukaidi.....

 
Sasa sisi watanzania tunaadhirika vipi.mi naona wao ndio wataumia.sisi ahh tunawatazama wao
Ninyi si mnataka pesa zao? Sasa mmezikosa na kimbelembele chenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…