Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

Naona mmehamia kwenye maombi.[emoji2][emoji2]View attachment 1430120

Sent using Jamii Forums mobile app

Maombi tunafanya kila siku, hatujaanza leo na hatutaacha, ila pamoja na yote tunatumia hekima tuliyopewa na Mungu, hatuwezi kuwa na kauli za kiajabu eti corona ikiingia kanisani itaungua. Tunachukua tahadhari kwa kutumia hekima.
Hauwezi ukamgusa simba kidevu huku ukiomba Mungu amzuie huyo simba asikutafune....
 
Kwani hao wakenya wanaoomba mungu ili corona iishe wamefundishwa na nani?

Thanks Mkuu, Ndio maana ukisikiliza kelele za Watanzania hasa mtandaoni zitakupoteza tu ni kuwazoea tu
Wabongo ni wavivu balaa, yaani mijamaa badala ya kupiga kazi inawaza ilale ndani..

nchi zote walio kaa ndani wataondoa hiyo lockdown yao tu hakuna namna, ujerumani wanaforce shule zifunguliwe mwezi huu kama siyo week hii
 
Kwani hao wakenya wanaoomba mungu ili corona iishe wamefundishwa na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Tumefundishwa kwenye imani zetu kuomba, ila pia tumepewa hekima na kuhubiriw kutumia maarifa na kwamba pale maarifa yetu yanafika mwisho ndipo Mungu huanzia, hivyo kwa kifupi maarifa yetu yapo kwenye kuchukua tahadhari za kawaida, ikiwemo kuepuka misongamano, kunawa mikono n.k. Sasa hapo ndio mwisho wa maarifa yetu, na zaidi ya hapo ndio Mungu anaanzia, tunamuomba aimalize Corona maana maarifa aliyotupea hayajafikia kwenye level hiyo.

Narudia tena, hauwezi ukamshika simba mwenye njaa kidevu huku ukiomba Mungu amzuie asikutafune, maarifa uliyopewa unapaswa uyatumie kwa kutoka nduki na kuepuka.
Nyie hapo mnasongamana kwenye vilabu na machangudoa huku mkisema mnaomba dhidi ya Corona, hamchukui tahadhari...
 
Wabongo ni wavivu balaa, yaani mijamaa badala ya kupiga kazi inawaza ilale ndani..

nchi zote walio kaa ndani wataondoa hiyo lockdown yao tu hakuna namna, ujerumani wanaforce shule zifunguliwe mwezi huu kama siyo week hii
Mkuu usiwalaumu hao wavivu waliojifungia ndani,wewe chapa kazi ili kusudi wakitoka kujifungia uwapige hela,au wewe hutaki hela?
 
Kaa Wewe Ndani na familia yako

USA licha ya maambukizi kuongezeka ila wanaondoa lockdown
Msiwe mnaimba tu kama kasuku. Ni US ya wapi imeondoa lockdown?

Kuna States chache sana, nadhani 5 tu ambazo wanafikiria kupunguza kiwango cha lockdown na siyo kuondoa kabisa. Katika States hizo, shughuli chache sana wanataka ziruhusiwe kuendelea.

Hata hivyo white House imeweka vigezo vya State kuruhusiwa kuondoa lockdown, na kigezo kikuu ni kwamba cases za maambukizi ni vifo viwe vinapungua mfululizo kwa wiki 2. Mpaka sasa hakuna State ambayo imetimiza sharti hilo.

Watu sijui wanaokota wapi hizi habari kwamba US imeondoa lockdown! Mtu hajui chochote, lakini anataka kuonesha anajua kwa kuwadanganya watu.

Soma hapa kuweza kujua masharti ya kuondoa lockdown US
US states weeks away from being able to lift lockdowns, model shows

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa sisi watanzania tunaadhirika vipi.mi naona wao ndio wataumia.sisi ahh tunawatazama wao
kwa fikra zako unaona hatutaathirika? We jamaa sijui unaishi ulimwengu gani. Rais alitoa sababu gani zinazofanya tusifikirie kuifungia Dar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo Watz hulia sana dhidi ya Kenya, lakini naona wamefungiwa na majirani wote hadi wale wao huwaita ndugu wa damu kule SADC, hii yote imetokana na kukaidi kwao kuchukua tahadhari na kuendelea kushupaza shingo huku wakishikilia mambo yasiyo na misingi ya kisayansi, ndugu zetu mtaendelea kutengwa sana kwenye hili la kuogelea ndani ya kirusi huku mkikaidi taratibu zilizoshauriwa na wataalam duniani.
WHO wamewasema sana kwa hili la ukaidi.....

2379433_0055BF42-3858-43EC-85A6-C1EF1F8CD16A.jpeg
Hahahahahah sisi ni kuchapa kazi, limau nyingi pamoja na tangawizi
 
Waache wafunge tu si maamuzi yao mlitaka wafanyaje sasa?
 
Japo Watz hulia sana dhidi ya Kenya, lakini naona wamefungiwa na majirani wote hadi wale wao huwaita ndugu wa damu kule SADC, hii yote imetokana na kukaidi kwao kuchukua tahadhari na kuendelea kushupaza shingo huku wakishikilia mambo yasiyo na misingi ya kisayansi, ndugu zetu mtaendelea kutengwa sana kwenye hili la kuogelea ndani ya kirusi huku mkikaidi taratibu zilizoshauriwa na wataalam duniani.
WHO wamewasema sana kwa hili la ukaidi.....

2379433_0055BF42-3858-43EC-85A6-C1EF1F8CD16A.jpeg
Hujui....wale ambao sio wakaidi wala hawajasemwa sana na WHO; Confirmed 927,026 na Dead 52,264......sijui.....wanataka kudungana sindano za kemikali na kuchomana mionzi ya mianga mikali!
 
Short minded prezidaaa. Yani JK hatutakusamehe umetuletea mzigo
 
Vitaa za madereva wa Tanzania na Zambia hizo. Naona serikali ya Zambia imeingia kichwa kichwa kwenye mzozo na kuwapa back up raia wake (Madereva). Wanataka madereva wa Zambia ndio waendeshe hizo gari za IT kutoka Boda kuingia Zambia. Wakati mkataba wa kutoa gari ya IT unamtaka dereva aitoe gari Dar port hadi Zambia. Bifu ndio iko hapo.
 
unarudi kule kule kwa magufuli.

Back
Top Bottom