Jaribu kuwa mwelewa, sio swala la kufurahia ila watu wanajaribu to disapprove of the misbehaviour of our country's ruler that eventually ends up costing the country a lot.Naona kuhusu kufungwa huo mpaka wa tz na zambia kuna watu wanafurahia kwa hiyo nyie ,huo mpaka ukifunga mnapata faida gani?
Mji wa Tunduma utapooza balaa kwa mpaka huo kufungwa.Hii hatua haitawaumiza sana Zambia na DRC. Bila shaka wafanyabiashara watahamishia mizigo ya Beira na Durban. Na ikiwa Rwanda na Uganda wataipa kipaumbele Mombasa basi bandari yetu kwisha habari yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania wa Nakonde kuanzia kesho Jumatatu, kwa mujibu wa taarifa hii chini hapa.
Nahisi muda si mrefu hatua hii ya kufunga mipaka itaanza kuwa maarufu, na kuchukuliwa na nchi nyingi zaidi!
Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.
Cc: Sammy awamyView attachment 1445842
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitizama ramani kutoka Beira hadi Lusaka ni karibu kuliko kutoka Dar hadi Lusaka hivyo Zambia hana cha kupoteza, tatizo huenda hili swala dogo tu rais Magufuli halijui.Ndio mawazo wa mkuu wa kaya haya. Kwamba hawana namna. Ngoja tusubiri. Wataenda wapi wakati hapa Afrika sisi tu ndio wenye bandari?
Ukitizama ramani kutoka Beira hadi Lusaka ni karibu kuliko kutoka Dar hadi Lusaka hivyo Zambia hana cha kupoteza, tatizo huenda hili swala dogo tu rais Magufuli halijui.
Wkt wananchi wa Zambia wakifa kwa njaa huku kwetu nako serikali itakua imeshashindwa kulipa hata mishahara.Pengine wanaojadili hii mada ni wepesi vichwani. Hivi Zambia ni "LANDLOCKED COUNTRY"
Akifunga mpaka nani atapata hasara? Bomba la mafuta la TAZAMA linachukua mafuta kutaka Tanzania, bidhaa zake zinapitia Tanzania pamoja na na IT, wafunge tu!
Mungu katujaalia Kiongozi mwenye maono ya mbali.
Wananchi wa Zambia ni masikini kwelikweli hawana uwezo hata wa kukaa siku moja ndani na Serikali yao haina ubavu wa kuwalisha sembe au mkate. Maandamano kila kukicha juu ya sembe.
Usijidanganye Zambia naaingiza mizigo mingi kupitia Durban na beira ukichanganya kuliko Dar. Hapo sisi ndio tumepoteza.Pengine wanaojadili hii mada ni wepesi vichwani. Hivi Zambia ni "LANDLOCKED COUNTRY"
Akifunga mpaka nani atapata hasara? Bomba la mafuta la TAZAMA linachukua mafuta kutaka Tanzania, bidhaa zake zinapitia Tanzania pamoja na na IT, wafunge tu!
Mungu katujaalia Kiongozi mwenye maono ya mbali.
Wananchi wa Zambia ni masikini kwelikweli hawana uwezo hata wa kukaa siku moja ndani na Serikali yao haina ubavu wa kuwalisha sembe au mkate. Maandamano kila kukicha juu ya sembe.
Sahau hiyo. Bilioni 23 za kulisha wanafunzi kila mwezi zipo. Mikopo ya vyuo ipo! Unacheza na Mastermind wewe?Wkt wananchi wa Zambia wakifa kwa njaa huku kwetu nako serikali itakua imeshashindwa kulipa hata mishahara.
hahahah ziko wapi hizo fedha wkt wastaafu wanasotea mafao yao miaka 3 sasa,kisa hakuna hela hahah mastermind bana.Sahau hiyo. Bilioni 23 za kulisha wanafunzi kila mwezi zipo. Mikopo ya vyuo ipo! Unacheza na Mastermind wewe?
Wakati huo corona itakuwa imekwisha na watanzania wengi watakuwa wamekufa huku wazambia wakinusurika maambukizi toka Tanzania
Wakati huo corona itakuwa imekwisha na watanzania wengi watakuwa wamekufa huku wazambia wakinusurika maambukizi toka Tanzania
List of African countries by GDP (PPP) - Wikipediahahahah ziko wapi hizo fedha wkt wastaafu wanasotea mafao yao miaka 3 sasa,kisa hakuna hela hahah mastermind bana.
List of African countries by GDP (PPP) - WikipediaUsijidanganye Zambia naaingiza mizigo mingi kupitia Durban na beira ukichanganya kuliko Dar. Hapo sisi ndio tumepoteza.
List of African countries by GDP (PPP) - WikipediaWkt wananchi wa Zambia wakifa kwa njaa huku kwetu nako serikali itakua imeshashindwa kulipa hata mishahara.
Inasaidia nini,yaleyale ya donor country.
Bilioni 23 hata kama ni kwa mwezi ni hela gani kwa nchi yenye rasilimali kama hii ila kwenye mikopo ni siasa tu, wanafunzi wengi waliishakosa hiyo mikopo na wengine wanajilipia na wengine wako nyumbani.Sahau hiyo. Bilioni 23 za kulisha wanafunzi kila mwezi zipo. Mikopo ya vyuo ipo! Unacheza na Mastermind wewe?