Jaribu kuwa mwelewa, sio swala la kufurahia ila watu wanajaribu to disapprove of the misbehaviour of our country's ruler that eventually ends up costing the country a lot.Naona kuhusu kufungwa huo mpaka wa tz na zambia kuna watu wanafurahia kwa hiyo nyie ,huo mpaka ukifunga mnapata faida gani?
Kumbuka Congo DR, Zambia na Malawi waga wanatumia bandari za Beira na Durban bila shida, hii kuja Tanzania ni kwa ajili ya ku-maintain ujirani mwema tu.
Zambia wangeona itawapa tatizo wala wasingesema wafunge mpaka na Tanzania lkn hawatakuwa na shida yoyote ni Tanzania ndio itapoteza.