Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

Naona kuhusu kufungwa huo mpaka wa tz na zambia kuna watu wanafurahia kwa hiyo nyie ,huo mpaka ukifunga mnapata faida gani?
Jaribu kuwa mwelewa, sio swala la kufurahia ila watu wanajaribu to disapprove of the misbehaviour of our country's ruler that eventually ends up costing the country a lot.
Kumbuka Congo DR, Zambia na Malawi waga wanatumia bandari za Beira na Durban bila shida, hii kuja Tanzania ni kwa ajili ya ku-maintain ujirani mwema tu.

Zambia wangeona itawapa tatizo wala wasingesema wafunge mpaka na Tanzania lkn hawatakuwa na shida yoyote ni Tanzania ndio itapoteza.
 
Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania wa Nakonde kuanzia kesho Jumatatu, kwa mujibu wa taarifa hii chini hapa.

Nahisi muda si mrefu hatua hii ya kufunga mipaka itaanza kuwa maarufu, na kuchukuliwa na nchi nyingi zaidi!
Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.

Cc: Sammy awamyView attachment 1445842

Sent using Jamii Forums mobile app

Pengine wanaojadili hii mada ni wepesi vichwani. Hivi Zambia ni "LANDLOCKED COUNTRY"
Akifunga mpaka nani atapata hasara? Bomba la mafuta la TAZAMA linachukua mafuta kutaka Tanzania, bidhaa zake zinapitia Tanzania pamoja na na IT, wafunge tu!
Mungu katujaalia Kiongozi mwenye maono ya mbali.
Wananchi wa Zambia ni masikini kwelikweli hawana uwezo hata wa kukaa siku moja ndani na Serikali yao haina ubavu wa kuwalisha sembe au mkate. Maandamano kila kukicha juu ya sembe.
 
Ndio mawazo wa mkuu wa kaya haya. Kwamba hawana namna. Ngoja tusubiri. Wataenda wapi wakati hapa Afrika sisi tu ndio wenye bandari?
Ukitizama ramani kutoka Beira hadi Lusaka ni karibu kuliko kutoka Dar hadi Lusaka hivyo Zambia hana cha kupoteza, tatizo huenda hili swala dogo tu rais Magufuli halijui.
 
Pengine wanaojadili hii mada ni wepesi vichwani. Hivi Zambia ni "LANDLOCKED COUNTRY"
Akifunga mpaka nani atapata hasara? Bomba la mafuta la TAZAMA linachukua mafuta kutaka Tanzania, bidhaa zake zinapitia Tanzania pamoja na na IT, wafunge tu!
Mungu katujaalia Kiongozi mwenye maono ya mbali.
Wananchi wa Zambia ni masikini kwelikweli hawana uwezo hata wa kukaa siku moja ndani na Serikali yao haina ubavu wa kuwalisha sembe au mkate. Maandamano kila kukicha juu ya sembe.
Wkt wananchi wa Zambia wakifa kwa njaa huku kwetu nako serikali itakua imeshashindwa kulipa hata mishahara.
 
Usijidanganye Zambia naaingiza mizigo mingi kupitia Durban na beira ukichanganya kuliko Dar. Hapo sisi ndio tumepoteza.
 
The distance from Beira to Lusaka is1,055.8 Km, when the distance between Dar es Salaam and Lusaka is 1,938.6 Km.

So in view of the above it's Tanzania who stands to lose and not Zambia, moreover, most of the latter's cargo passes through Beira, Mozambique.
 
Wkt wananchi wa Zambia wakifa kwa njaa huku kwetu nako serikali itakua imeshashindwa kulipa hata mishahara.
Sahau hiyo. Bilioni 23 za kulisha wanafunzi kila mwezi zipo. Mikopo ya vyuo ipo! Unacheza na Mastermind wewe?
 
Sahau hiyo. Bilioni 23 za kulisha wanafunzi kila mwezi zipo. Mikopo ya vyuo ipo! Unacheza na Mastermind wewe?
hahahah ziko wapi hizo fedha wkt wastaafu wanasotea mafao yao miaka 3 sasa,kisa hakuna hela hahah mastermind bana.
 
Sahau hiyo. Bilioni 23 za kulisha wanafunzi kila mwezi zipo. Mikopo ya vyuo ipo! Unacheza na Mastermind wewe?
Bilioni 23 hata kama ni kwa mwezi ni hela gani kwa nchi yenye rasilimali kama hii ila kwenye mikopo ni siasa tu, wanafunzi wengi waliishakosa hiyo mikopo na wengine wanajilipia na wengine wako nyumbani.

Hii serikali kwa awamu zote ndio inayoongoza kwa kukopa na walizuiliwa tu kukopa, ndio kifo chake. Please take note of that.
 
Naamini Corona ni mdudu dhaifu sana, strength yake IPO katika kuzaliana na kushambulia bila mwili kuonyesha dalili mwanzoni, Mimi naamini Binadamu anayeishi Afrika kusini mwa Jangwa la Sahara, ana immunity kubwa kupambana na hivi virusi, vyakula vya asili tulivyokula na ambavyo tunaendelea kula vinatusaidia sana kujikinga, Afrika ya kusini wanashambuliwa zaidi kwa kuwa mijini life style yao ni kama binadamu Wa Ulaya, HawA watu Mboga za Majani,pilipili kichaa, vitunguu swaumu, parachichi,mchaichai,Asali,malimau, vitunguu maji , mwarobaini,nk ni ghali kuliko nyama, hivyo hawana immunity kubwa kama sisi, Hatuna haja ya kufunga mipaka, wache wafunge watuzunguke wamalize, mwishoni watatuelewa, sisi tuendelee kuchapa kazi, kuchukua tahadhari, na kuendelea kupata vyakula vya asili, tutapona tu, Nawaunga mkono NIMRI na wengineo kuonyesha
Mwanga, viva Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa waache wafunge tu, njaa itawashika watarudi tu, wanategemea bandari yetu..
 
Back
Top Bottom