Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

Lockdown ya lzm,hata airport ilifungwa baada ya ndege kuacha kuingia
 
Acha wafunge, kila raisi ana njia zake anazoona zinafaa kukabiliana na huu ugonjwa usioisha. Ila Magufuli peke yake ndio kauweza huu mchezo. Huu ni mtazamo wangu. Povu ruksa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapo sema povu ruksa ni kwamba unajua fika kwamba kinachofanywa na Rais si sahihi lakini kwasababu Kuna kitu unakitaka ( cheo, sifa, uoga ) ndo maana una unga mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wakiondoka watapitia wapi ambapo hakuna ugonjwa?
 
Acha wafunge, kila raisi ana njia zake anazoona zinafaa kukabiliana na huu ugonjwa usioisha. Ila Magufuli peke yake ndio kauweza huu mchezo. Huu ni mtazamo wangu. Povu ruksa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema povu ruksa ina maana umejistukia kuwa ulichoandika ni ujinga! Rais wako kauweza mchezo wakati kakutanguliza ufe kama kuku yeye ameenda kujificha! Na ukishakufa kama kuku anatoka huko anasema kwa ratio ya watu milioni 60 hao waliokufa ni watu kidogo sana. Huyo ndiye Rais wako!
 
Hivi kama wewe umo ndani nyumba unasema hufungi mlango, wa nje akachukua funguo na kuufunga mlango wewe wa ndani utaendelea kufungua mlango huo kwa sababu wewe ulikataa kuufunga?
 
Alafu ujue wao hawana roho za kichawi kama wewe, watake wasitake watakuja tu maana hakuna namna watakwepa hapa tz.
 
Naona kuhusu kufungwa huo mpaka wa tz na zambia kuna watu wanafurahia kwa hiyo nyie ,huo mpaka ukifunga mnapata faida gani?
 
Acha wafunge, kila raisi ana njia zake anazoona zinafaa kukabiliana na huu ugonjwa usioisha. Ila Magufuli peke yake ndio kauweza huu mchezo. Huu ni mtazamo wangu. Povu ruksa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtukufu magufuli anataka corona isambae kote Tanzania watanzania wafe kwa wingi apate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…