mtembea kwa miguu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 1,121
- 1,735
Baba mwenye kiburi katufikisha hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lockdown ya lzm,hata airport ilifungwa baada ya ndege kuacha kuingiaZambia kufunga mpaka wake na Tanzania wa Nakonde kuanzia kesho Jumatatu, kwa mujibu wa taarifa hii chini hapa.
Nahisi muda si mrefu hatua hii ya kufunga mipaka itaanza kuwa maarufu, na kuchukuliwa na nchi nyingi zaidi!
Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.
Cc: Sammy awamyView attachment 1445842
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo lumumba Anafatilia malimbikizo yakeTafadhali mtu anisaidie kumuita BIA YETU
Unapo sema povu ruksa ni kwamba unajua fika kwamba kinachofanywa na Rais si sahihi lakini kwasababu Kuna kitu unakitaka ( cheo, sifa, uoga ) ndo maana una unga mkonoAcha wafunge, kila raisi ana njia zake anazoona zinafaa kukabiliana na huu ugonjwa usioisha. Ila Magufuli peke yake ndio kauweza huu mchezo. Huu ni mtazamo wangu. Povu ruksa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam. Kiburi cha kujifanya kuwa una bandari. Wenzio wamejibana wee kwa ajili ya afya za watu wao, wewe unaweka pesa mbele na kufanya juhudi za majirani zako kuwa machozi ya samaki. Sasa atakoma. Wakiondoka, kuwarejesha tena hata baada ya ugonjwa itakuwa siyo rahisi.
Unapo sema povu ruksa ni kwamba unajua fika kwamba kinachofanywa na Rais si sahihi lakini kwasababu Kuna kitu unakitaka ( cheo, sifa, uoga ) ndo maana una unga mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema povu ruksa ina maana umejistukia kuwa ulichoandika ni ujinga! Rais wako kauweza mchezo wakati kakutanguliza ufe kama kuku yeye ameenda kujificha! Na ukishakufa kama kuku anatoka huko anasema kwa ratio ya watu milioni 60 hao waliokufa ni watu kidogo sana. Huyo ndiye Rais wako!Acha wafunge, kila raisi ana njia zake anazoona zinafaa kukabiliana na huu ugonjwa usioisha. Ila Magufuli peke yake ndio kauweza huu mchezo. Huu ni mtazamo wangu. Povu ruksa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam. Kiburi cha kujifanya kuwa una bandari. Wenzio wamejibana wee kwa ajili ya afya za watu wao, wewe unaweka pesa mbele na kufanya juhudi za majirani zako kuwa machozi ya samaki. Sasa atakoma. Wakiondoka, kuwarejesha tena hata baada ya ugonjwa itakuwa siyo rahisi.
Kwa hiyo wakiondoka watapitia wapi ambapo hakuna ugonjwa?
Alafu ujue wao hawana roho za kichawi kama wewe, watake wasitake watakuja tu maana hakuna namna watakwepa hapa tz.
Mtukufu magufuli anataka corona isambae kote Tanzania watanzania wafe kwa wingi apate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuAcha wafunge, kila raisi ana njia zake anazoona zinafaa kukabiliana na huu ugonjwa usioisha. Ila Magufuli peke yake ndio kauweza huu mchezo. Huu ni mtazamo wangu. Povu ruksa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoi inaitwa "wekelea kanyau, dadeki!"Acha wafunge, kila raisi ana njia zake anazoona zinafaa kukabiliana na huu ugonjwa usioisha. Ila Magufuli peke yake ndio kauweza huu mchezo. Huu ni mtazamo wangu. Povu ruksa!
Sent using Jamii Forums mobile app