Hakuna anayefurahia mipaka kufungwa kama ni faida wanapata zambia kwa kuepuka maambukizi ya corona toka TanzaniaNaona kuhusu kufungwa huo mpaka wa tz na zambia kuna watu wanafurahia kwa hiyo nyie ,huo mpaka ukifunga mnapata faida gani?
Wakati dunia nzima kila nchi inafunga mipaka yake hao Zambia walikuwa wapi?Ndio mawazo wa mkuu wa kaya haya. Kwamba hawana namna. Inaonekna wewe ni msemaji wake (Msigwa). Ngoja tusubiri. Wataenda wapi wakati hapa Afrika sisi tu ndio wenye bandari?
Kwani wao dunia nzima ilipikuwa inafunga mipaka wao walikuwa wansubiri nini? Wataumia sana,Hakuna anayefurahia mipaka kufungwa kama ni faida wanapata zambia kwa kuepuka maambukizi ya corona toka Tanzania
CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuKusema povu ruksa ina maana umejistukia kuwa ulichoandika ni ujinga! Rais wako kauweza mchezo wakati kakutanguliza ufe kama kuku yeye ameenda kujificha! Na ukishakufa kama kuku anatoka huko anasema kwa ratio ya watu milioni 60 hao waliokufa ni watu kidogo sana. Huyo ndiye Rais wako!
CCM inataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuKwani wao dunia nzima ilipikuwa inafunga mipaka wao walikuwa wansubiri nini? Wataumia sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mawazo wa mkuu wa kaya haya. Kwamba hawana namna. Inaonekna wewe ni msemaji wake (Msigwa). Ngoja tusubiri. Wataenda wapi wakati hapa Afrika sisi tu ndio wenye bandari?
Upo sahihi.....Acha wafunge, kila raisi ana njia zake anazoona zinafaa kukabiliana na huu ugonjwa usioisha. Ila Magufuli peke yake ndio kauweza huu mchezo. Huu ni mtazamo wangu. Povu ruksa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania watakufa kwa Corona ambayo inasambaa sasa hasa huko Dsm kwenye misongamano vijiweni vibarazani uswahilini mitaani kuanzia Temeke ilala Kinondoni kote wenyeviti wa Serikali za mitaa ni wa CCM lakini wameruhusu vijiwe uzurulaji wa hovyo hovyo kusambaza corona huko jiji ili watu wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuusisi ni donors country,watakufwaa njaa...shauri zao!
Zambia watapata hasara kubwa mno na hv uchumi wao tia maji....Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania wa Nakonde kuanzia kesho Jumatatu, kwa mujibu wa taarifa hii chini hapa.
Nahisi muda si mrefu hatua hii ya kufunga mipaka itaanza kuwa maarufu, na kuchukuliwa na nchi nyingi zaidi!
Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.
Cc: Sammy awamyView attachment 1445842
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo sahiihi kuruhusu uzurulaji kukaa vijiweni kusambaza corona? Rais wa kuruhusu maambukizi yasambae makanisani misikitini yupo sahihi ❓Upo sahihi.....
Zambia wanathamini utu Afya za wananchi wao na Rais wao hajaenda kujificha kijijini kwakeZambia watapata hasara kubwa mno na hv uchumi wao tia maji....
Aisee hii "wekelea kanyau" umenikumbusha mbali.
Mambo mengine yakitokea wanaoathirika ni wananchi wa hali ya chini kabisa
Chukulia mfano mrahisi tu kwa sasa kuhusu bei ya sukari ,yaani wanaoathirika ni wale watu wenye vipato duni kabisa
Muda mwingine muweke utaifa mbele na sio kushabikia ujinga wenu
Zambia hawakufunga mipaka kuwakomoa watanzania bali wamefunga mipaka kuokoa Afya za wazambia ambao wamepata maambukizi makubwa toka kwa Raia wa Tanzania wanaoingia huko, wao hawana tamaa ya pesa utajiri wanathamini Afya za wananchi wao kwanzaHao zambia wanamkoa nani sasa, Hivi zambia inaisogelea Tanzania kiuchumi hata kidogo
sisi tunapiga kazi, wacha wafunge, watafungua wenyewe, ni swala la muda tu, kwani hata hiyo lockdown yao wataitoa na corona itaendelea kuwepo kwao
Acha wafunge, kila raisi ana njia zake anazoona zinafaa kukabiliana na huu ugonjwa usioisha. Ila Magufuli peke yake ndio kauweza huu mchezo. Huu ni mtazamo wangu. Povu ruksa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania wa Nakonde kuanzia kesho Jumatatu, kwa mujibu wa taarifa hii chini hapa.
Nahisi muda si mrefu hatua hii ya kufunga mipaka itaanza kuwa maarufu, na kuchukuliwa na nchi nyingi zaidi!
Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.
Cc: Sammy awamyView attachment 1445842
Sent using Jamii Forums mobile app