Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

Mambo mengine yakitokea wanaoathirika ni wananchi wa hali ya chini kabisa

Chukulia mfano mrahisi tu kwa sasa kuhusu bei ya sukari ,yaani wanaoathirika ni wale watu wenye vipato duni kabisa

Muda mwingine muweke utaifa mbele na sio kushabikia ujinga wenu
 
Ndio mawazo wa mkuu wa kaya haya. Kwamba hawana namna. Inaonekna wewe ni msemaji wake (Msigwa). Ngoja tusubiri. Wataenda wapi wakati hapa Afrika sisi tu ndio wenye bandari?
Wakati dunia nzima kila nchi inafunga mipaka yake hao Zambia walikuwa wapi?
Yani ndio wanashtuka leo? Wataumia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusema povu ruksa ina maana umejistukia kuwa ulichoandika ni ujinga! Rais wako kauweza mchezo wakati kakutanguliza ufe kama kuku yeye ameenda kujificha! Na ukishakufa kama kuku anatoka huko anasema kwa ratio ya watu milioni 60 hao waliokufa ni watu kidogo sana. Huyo ndiye Rais wako!
CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Ndio mawazo wa mkuu wa kaya haya. Kwamba hawana namna. Inaonekna wewe ni msemaji wake (Msigwa). Ngoja tusubiri. Wataenda wapi wakati hapa Afrika sisi tu ndio wenye bandari?

Hayo ni mambo yatapita na maisha yataendelea, mpaka sasa Trump anafungua shughuli za kiuchumi na watu wanaendelea kufa huko kwake,
mataifa hayo yakisema kuwa huu ni ugonjwa ambao tutaishi nao kwa hiyo shughuli zote zifanyike kila mtu afanye yake najua pia mtashangilia, maana bila wao kusema sisi kazi ni kufuata wanachosema.
 
Hao zambia wanamkoa nani sasa, Hivi zambia inaisogelea Tanzania kiuchumi hata kidogo

sisi tunapiga kazi, wacha wafunge, watafungua wenyewe, ni swala la muda tu, kwani hata hiyo lockdown yao wataitoa na corona itaendelea kuwepo kwao
 
sisi ni donors country,watakufwaa njaa...shauri zao!
Tanzania watakufa kwa Corona ambayo inasambaa sasa hasa huko Dsm kwenye misongamano vijiweni vibarazani uswahilini mitaani kuanzia Temeke ilala Kinondoni kote wenyeviti wa Serikali za mitaa ni wa CCM lakini wameruhusu vijiwe uzurulaji wa hovyo hovyo kusambaza corona huko jiji ili watu wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania wa Nakonde kuanzia kesho Jumatatu, kwa mujibu wa taarifa hii chini hapa.

Nahisi muda si mrefu hatua hii ya kufunga mipaka itaanza kuwa maarufu, na kuchukuliwa na nchi nyingi zaidi!
Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.

Cc: Sammy awamyView attachment 1445842

Sent using Jamii Forums mobile app
Zambia watapata hasara kubwa mno na hv uchumi wao tia maji....
 
Mambo mengine yakitokea wanaoathirika ni wananchi wa hali ya chini kabisa

Chukulia mfano mrahisi tu kwa sasa kuhusu bei ya sukari ,yaani wanaoathirika ni wale watu wenye vipato duni kabisa

Muda mwingine muweke utaifa mbele na sio kushabikia ujinga wenu

Mambo yakishakuaga tu magumu hapo ndipo utaona story zenu za tutangulize utaifa mbele,uzalendo,maslahi ya taifa kwanza sijui nini lkn mkiwa mnakula keki ya taifa hizo lugha hamnaga.
 
......"Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona".

Wote wanachukua hatua kali dhidi ya Corona isipokuwa Tanzania na Burundi. Kwa hiyo ulitakiwa useme kuwa nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya Tanzania na Burundi na siyo kusema nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.
 
Hao zambia wanamkoa nani sasa, Hivi zambia inaisogelea Tanzania kiuchumi hata kidogo

sisi tunapiga kazi, wacha wafunge, watafungua wenyewe, ni swala la muda tu, kwani hata hiyo lockdown yao wataitoa na corona itaendelea kuwepo kwao
Zambia hawakufunga mipaka kuwakomoa watanzania bali wamefunga mipaka kuokoa Afya za wazambia ambao wamepata maambukizi makubwa toka kwa Raia wa Tanzania wanaoingia huko, wao hawana tamaa ya pesa utajiri wanathamini Afya za wananchi wao kwanza
 
Acha wafunge, kila raisi ana njia zake anazoona zinafaa kukabiliana na huu ugonjwa usioisha. Ila Magufuli peke yake ndio kauweza huu mchezo. Huu ni mtazamo wangu. Povu ruksa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Miaka ile wakati tupo shule ya msingi,tulisoma kwamba Shaba ya Zambia husafirishwa Nchi za nje kupitia bandari za Beira, Lobito na Dar Es Salaam.
Swali je hizo bandari za Beira na Lobito hazipo tena?
Kwa taarifa yako sasa zimeongezeka nyingine kama Durban,Walvis Bay na nyingine.
kazi kwako kusuka au kunyoa?
 
Wafungage tu kwa kweli hakuna namna ukimwamsha aliyelala utalala wewe

Back
Top Bottom