Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

Zambia wataendelea kutumia Bandari ya South Africa, msumbiji ambao wao wamechukua tahadhari hakuna vijiwe mikusanyiko uzurulaji wa hivyo hovyo Kama hapo Dsm
 
Mpk 08/05/2020 wao USA wameshapima watu zaidi ya 8.3mil, so wanaweza hata kutumia statistics zao ku-predict trend itakuaje hata wanaposema wanafungua mipaka yao,sisi tumepima watu wangapi so far?
 
Fungueni shule watoto wetu wasome. Watu wanakesha kwenye mabaa, makanisa, misikiti, halafu mashule mmefunga. Wapi mliambiwa corona iko kwenye mashule na vyuo tu Tanzania?
 
Hao zambia wanamkoa nani sasa, Hivi zambia inaisogelea Tanzania kiuchumi hata kidogo



sisi tunapiga kazi, wacha wafunge, watafungua wenyewe, ni swala la muda tu, kwani hata hiyo lockdown yao wataitoa na corona itaendelea kuwepo kwao
Naunga mkono hoja na wakumbuke pia sisi ni donor country,hatutishiwi.
 
Mambo yakishakuaga tu magumu hapo ndipo utaona story zenu za tutangulize utaifa mbele,uzalendo,maslahi ya taifa kwanza sijui nini lkn mkiwa mnakula keki ya taifa hizo lugha hamnaga.
We huo mpaka ukifungwa unafaidika na nini hasa
 
Zambia wameishitukia CCM inataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Hii hatua haitawaumiza sana Zambia na DRC. Bila shaka wafanyabiashara watahamishia mizigo ya Beira na Durban. Na ikiwa Rwanda na Uganda wataipa kipaumbele Mombasa basi bandari yetu kwisha habari yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna nchi haijafunga mipaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafaidika na kuona CCM imejifunza kuona kuwa Nchi jirani zimejua malengo ya CCM ni kuachia maambukizi yasambae vijiweni vibarazani makanisani waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
Ni wapi nimeandika kuwa mimi ni CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…