Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Bia yetuTafadhali mtu anisaidie kumuita BIA YETU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bia yetuTafadhali mtu anisaidie kumuita BIA YETU
Zambia wataendelea kutumia Bandari ya South Africa, msumbiji ambao wao wamechukua tahadhari hakuna vijiwe mikusanyiko uzurulaji wa hivyo hovyo Kama hapo Dsm......"Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona".Wote wanachukua hatua kali dhidi ya Corona isipokuwa Tanzania. Kwa hiyo ulitakiwa useme kuwa nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya Tanzania na siyo kusema nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.
Mpk 08/05/2020 wao USA wameshapima watu zaidi ya 8.3mil, so wanaweza hata kutumia statistics zao ku-predict trend itakuaje hata wanaposema wanafungua mipaka yao,sisi tumepima watu wangapi so far?Hayo ni mambo yatapita na maisha yataendelea, mpaka sasa Trump anafungua shughuli za kiuchumi na watu wanaendelea kufa huko kwake,
mataifa hayo yakisema kuwa huu ni ugonjwa ambao tutaishi nao kwa hiyo shughuli zote zifanyike kila mtu afanye yake najua pia mtashangilia, maana bila wao kusema sisi kazi ni kufuata wanachosema.
Hayo ni mambo yatapita na maisha yataendelea, mpaka sasa Trump anafungua shughuli za kiuchumi na watu wanaendelea kufa huko kwake,
mataifa hayo yakisema kuwa huu ni ugonjwa ambao tutaishi nao kwa hiyo shughuli zote zifanyike kila mtu afanye yake najua pia mtashangilia, maana bila wao kusema sisi kazi ni kufuata wanachosema.
Naunga mkono hoja na wakumbuke pia sisi ni donor country,hatutishiwi.Hao zambia wanamkoa nani sasa, Hivi zambia inaisogelea Tanzania kiuchumi hata kidogo
sisi tunapiga kazi, wacha wafunge, watafungua wenyewe, ni swala la muda tu, kwani hata hiyo lockdown yao wataitoa na corona itaendelea kuwepo kwao
CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi ili wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuWafungage tu kwa kweli hakuna namna ukimwamsha aliyelala utalala wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka wafungue ili watoto wafe walimu wafe wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuFungueni shule watoto wetu wasome.
We huo mpaka ukifungwa unafaidika na nini hasaMambo yakishakuaga tu magumu hapo ndipo utaona story zenu za tutangulize utaifa mbele,uzalendo,maslahi ya taifa kwanza sijui nini lkn mkiwa mnakula keki ya taifa hizo lugha hamnaga.
Hii hatua haitawaumiza sana Zambia na DRC. Bila shaka wafanyabiashara watahamishia mizigo ya Beira na Durban. Na ikiwa Rwanda na Uganda wataipa kipaumbele Mombasa basi bandari yetu kwisha habari yake.Naam. Kiburi cha kujifanya kuwa una bandari. Wenzio wamejibana wee kwa ajili ya afya za watu wao, wewe unaweka pesa mbele na kufanya juhudi za majirani zako kuwa machozi ya samaki. Sasa atakoma. Wakiondoka, kuwarejesha tena hata baada ya ugonjwa itakuwa siyo rahisi.
Nafaidika na kuona CCM imejifunza kuona kuwa Nchi jirani zimejua malengo ya CCM ni kuachia maambukizi yasambae vijiweni vibarazani makanisani waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuWe huo mpaka ukifungwa unafaidika na nini hasa
Hivi kuna nchi haijafunga mipaka......"Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona".
Wote wanachukua hatua kali dhidi ya Corona isipokuwa Tanzania na Burundi. Kwa hiyo ulitakiwa useme kuwa nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya Tanzania na Burundi na siyo kusema nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.
Msumbiji malawi wanawaweka karantini watanzania wote wanaokwenda hukoZimesalia nchi tatu Msumbiji,Malawi na Zanzibar.
Hivi yupo kweli lkn! Au kadondoka na corona?Tafadhali mtu anisaidie kumuita BIA YETU
Naona kuhusu kufungwa huo mpaka wa tz na zambia kuna watu wanafurahia kwa hiyo nyie ,huo mpaka ukifunga mnapata faida gani?
Ni wapi nimeandika kuwa mimi ni CCMNafaidika na kuona CCM imejifunza kuona kuwa Nchi jirani zimejua malengo ya CCM ni kuachia maambukizi yasambae vijiweni vibarazani makanisani waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
Bia yetu. Huyo hapoTafadhali mtu anisaidie kumuita BIA YETU