Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

Zambia kufunga mpaka wake na Tanzania kwa hofu ya kuenea kwa COVID-19

......"Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona".Wote wanachukua hatua kali dhidi ya Corona isipokuwa Tanzania. Kwa hiyo ulitakiwa useme kuwa nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya Tanzania na siyo kusema nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.
Zambia wataendelea kutumia Bandari ya South Africa, msumbiji ambao wao wamechukua tahadhari hakuna vijiwe mikusanyiko uzurulaji wa hivyo hovyo Kama hapo Dsm
 
Hayo ni mambo yatapita na maisha yataendelea, mpaka sasa Trump anafungua shughuli za kiuchumi na watu wanaendelea kufa huko kwake,
mataifa hayo yakisema kuwa huu ni ugonjwa ambao tutaishi nao kwa hiyo shughuli zote zifanyike kila mtu afanye yake najua pia mtashangilia, maana bila wao kusema sisi kazi ni kufuata wanachosema.
Mpk 08/05/2020 wao USA wameshapima watu zaidi ya 8.3mil, so wanaweza hata kutumia statistics zao ku-predict trend itakuaje hata wanaposema wanafungua mipaka yao,sisi tumepima watu wangapi so far?
 
Fungueni shule watoto wetu wasome. Watu wanakesha kwenye mabaa, makanisa, misikiti, halafu mashule mmefunga. Wapi mliambiwa corona iko kwenye mashule na vyuo tu Tanzania?
Hayo ni mambo yatapita na maisha yataendelea, mpaka sasa Trump anafungua shughuli za kiuchumi na watu wanaendelea kufa huko kwake,
mataifa hayo yakisema kuwa huu ni ugonjwa ambao tutaishi nao kwa hiyo shughuli zote zifanyike kila mtu afanye yake najua pia mtashangilia, maana bila wao kusema sisi kazi ni kufuata wanachosema.
 
Hao zambia wanamkoa nani sasa, Hivi zambia inaisogelea Tanzania kiuchumi hata kidogo



sisi tunapiga kazi, wacha wafunge, watafungua wenyewe, ni swala la muda tu, kwani hata hiyo lockdown yao wataitoa na corona itaendelea kuwepo kwao
Naunga mkono hoja na wakumbuke pia sisi ni donor country,hatutishiwi.
 
Mambo yakishakuaga tu magumu hapo ndipo utaona story zenu za tutangulize utaifa mbele,uzalendo,maslahi ya taifa kwanza sijui nini lkn mkiwa mnakula keki ya taifa hizo lugha hamnaga.
We huo mpaka ukifungwa unafaidika na nini hasa
 
Zambia wameishitukia CCM inataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Naam. Kiburi cha kujifanya kuwa una bandari. Wenzio wamejibana wee kwa ajili ya afya za watu wao, wewe unaweka pesa mbele na kufanya juhudi za majirani zako kuwa machozi ya samaki. Sasa atakoma. Wakiondoka, kuwarejesha tena hata baada ya ugonjwa itakuwa siyo rahisi.
Hii hatua haitawaumiza sana Zambia na DRC. Bila shaka wafanyabiashara watahamishia mizigo ya Beira na Durban. Na ikiwa Rwanda na Uganda wataipa kipaumbele Mombasa basi bandari yetu kwisha habari yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
......"Nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona".

Wote wanachukua hatua kali dhidi ya Corona isipokuwa Tanzania na Burundi. Kwa hiyo ulitakiwa useme kuwa nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya Tanzania na Burundi na siyo kusema nchi zitaanza kufunga mipaka yake dhidi ya majirani zao inayowaona hawachukui hatua kali vya kutosha dhidi ya Corona.
Hivi kuna nchi haijafunga mipaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafaidika na kuona CCM imejifunza kuona kuwa Nchi jirani zimejua malengo ya CCM ni kuachia maambukizi yasambae vijiweni vibarazani makanisani waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
Ni wapi nimeandika kuwa mimi ni CCM
 
Back
Top Bottom