Zambia na Malawi kwenye Demokrasia ziko mbali sana, Tanzania tuko sawa na Burundi

Amani na utulivu,

Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi.

Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua hao walistaraabika muda mrefu sana na katiba zao ni imara kuliko sisi wakumbatia ujamaa hewa.

Haiingii akilini jitu kama polepole au bashiru waliovuruga chaguzi zote kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu leo wapo uraiani na wanachangamana na sisi raia waliotukanyagia na kusigina haki zetu za msingi.

Chaguzi za Tanzania imekua maigizo makubwa sana na Tume inafanya maigizo hayo bila woga, rejea swaga za mahela na wenzake kwenye chaguzi zote.

Chaguzi za Tanzania haziko huru na hazina haki wapinzani hunyanyasika kuanzia kampeni hadi kwenye kupiga kura.

Polisi kuacha kulinda Raia na mali zao wanabaki kukimbizana na wapinzani mara wakimbizane kuzuia mikutano ya ndani unawacheki unaona hawa akili zao ziko nyuma mno, Polisi acheni wanasiasa wapambane kisiasa kazi yenu kulinda amani tu tena mko kwenye nchi isiyo na vikundi vya waasi lakini mnabehave worse.
Ngoja MATAGANIST waje 😂😂
 
Acha kutufunga kamba.
Kenya mnaowasifia kwa Demokrasia Kikwete ndie alienda kuwasaidia ili wasiendelee kutwangana wakikuyu na wajaluo kwa kuwashauri waunde katiba mpya yenye majimbo ili kila mtu awe jogoo kwenye kabila lake!!!

Mainchi yote yanayotuzunguka watanzania ndio tumewasaidia wote nchi zote tunazopakana nazo na nchi zote za kusini mwa Afrika Tanzania ndie baba yao na mwalimu wao na muweka viongozi kwenye serikalini zao.Ndio maana hamna mwenye ubavu nchi zote hizo kuleta nyoko kwa Tanzania .Watafanyiana kwao wao kwa wao au wao na nchi zingine lakini hawathubutu kuiletea nyoko Tanzania
 
Amani na utulivu,

Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi.

Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua hao walistaraabika muda mrefu sana na katiba zao ni imara kuliko sisi wakumbatia ujamaa hewa.

Haiingii akilini jitu kama polepole au bashiru waliovuruga chaguzi zote kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu leo wapo uraiani na wanachangamana na sisi raia waliotukanyagia na kusigina haki zetu za msingi.

Chaguzi za Tanzania imekua maigizo makubwa sana na Tume inafanya maigizo hayo bila woga, rejea swaga za mahela na wenzake kwenye chaguzi zote.

Chaguzi za Tanzania haziko huru na hazina haki wapinzani hunyanyasika kuanzia kampeni hadi kwenye kupiga kura.

Polisi kuacha kulinda Raia na mali zao wanabaki kukimbizana na wapinzani mara wakimbizane kuzuia mikutano ya ndani unawacheki unaona hawa akili zao ziko nyuma mno, Polisi acheni wanasiasa wapambane kisiasa kazi yenu kulinda amani tu tena mpo kwenye nchi isiyo na vikundi vya waasi lakini mnabehave worse.
Inaelekea hujui hata maana ya demokrasia ....inasikitisha sana kwa kweli...demokrasia kwako ina maana ya uchaguzi...kumbuka tu kwamba demokrasia na uchaguzi ni moja tu ya vigezo vya demokrasia...mnadanganywa Sana na mtaendelea kudanganywa mpaka mwisho...hovyo Sana...sijui Kama umefika hata huko Zambia na Malawi...
 
Kwa nini hakuisaidia Zanzibar 2015 dhidi ya Jecha?
Kenya mnaowasifia kwa Demokrasia Kikwete ndie alienda kuwasaidia ili wasiendelee kutwangana wakikuyu na wajaluo kwa kuwashauri waunde katiba mpya yenye majimbo ili kila mtu awe jogoo kwenye kabila lake!!!

Mainchi yote yanayotuzunguka watanzania ndio tumewasaidia wote nchi zote tunazopakana nazo na nchi zote za kusini mwa Afrika Tanzania ndie baba yao na mwalimu wao na muweka viongozi kwenye serikalini zao.Ndio maana hamna mwenye ubavu nchi zote hizo kuleta nyoko kwa Tanzania .Watafanyiana kwao wao kwa wao au wao na nchi zingine lakini hawathubutu kuiletea nyoko Tanzania
 
Amani na utulivu,

Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi.

Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua hao walistaraabika muda mrefu sana na katiba zao ni imara kuliko sisi wakumbatia ujamaa hewa.

Haiingii akilini jitu kama polepole au bashiru waliovuruga chaguzi zote kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu leo wapo uraiani na wanachangamana na sisi raia waliotukanyagia na kusigina haki zetu za msingi.

Chaguzi za Tanzania imekua maigizo makubwa sana na Tume inafanya maigizo hayo bila woga, rejea swaga za mahela na wenzake kwenye chaguzi zote.

Chaguzi za Tanzania haziko huru na hazina haki wapinzani hunyanyasika kuanzia kampeni hadi kwenye kupiga kura.

Polisi kuacha kulinda Raia na mali zao wanabaki kukimbizana na wapinzani mara wakimbizane kuzuia mikutano ya ndani unawacheki unaona hawa akili zao ziko nyuma mno, Polisi acheni wanasiasa wapambane kisiasa kazi yenu kulinda amani tu tena mpo kwenye nchi isiyo na vikundi vya waasi lakini mnabehave worse.
Maneno yako ni ya ukweli na hayana shaka maana nilipata bahati ya kuteembelea miji fulani kule Zambia na Malawi hivi majuzi .Wananchi katika maeneo hayo wapo hoi bin taaban wanakula DEMOKRASIA na kuvaa DEMOKRASIA katika mazungumzo yao wanatamani sana maisha ya Tanzania.
 
Hivi unadhani watanzania hawapo hoi bin taabani?
 
Kuna hujui Tanzania ndio huamua Nani awe Raisi wa Zambia au Malawi.Nenda kipindi Cha chaguzi Zambia na Malawi nenda pale mbeya uone wagombea wanavyokwenda .T-shirt za kampeni na vipeperushi nk vyote huzalishwa mbeya!!! Tupongeze Tanzania tuliowasaidia wakenya Hadi katiba mpya yao baada ya kutwangana wao kwa wao

Tanzania haina influence yoyote kwenye nchi yoyote hapa Afrika labda Burundi huko, Block ya kusini mwa jangwa la sahara ni Afrika kusini ndio giant, Block ya Afrika Mashariki Kenya ndio Giant, Block ya Magharibi Nigeria ndio giant, Block ya Kaskazini Kuna Egypt na Morroco, Block ya kati Kuna mkongo pamoja na vita yake yote Tanzania ilikalia ujamaa hewa wa kukomboa wenzake na kusahau kujenga uchumi imara
 
Kulikuwa pia na Hayati Koffi Annan kwenye kusuluhisha

Machafuko ya Mwembechai na kule zanzibar yaliwahi kutokea pia watu walikufa wengi kwahiyo machafuko ya kenya sio habari kabisa
 
Raia wanaenda kupiga kura hawana hata wembe au panga cha ajabu polisi, jeshi wanakua na silaha zote za kivita utoto huo, uchaguzi unalindwa sawa na wanavolinda mitihani ya darasa la saba
 
Kule huwezi kuta police wanalinda chama,vyama upambana vyenyewe atakaeshinda ndie mshindi.
Nchi sio chama nchi ni watu.
Ccm itakufa lakn tza itadumu milele.
 
Kuna hujui Tanzania ndio huamua Nani awe Raisi wa Zambia au Malawi.Nenda kipindi Cha chaguzi Zambia na Malawi nenda pale mbeya uone wagombea wanavyokwenda .T-shirt za kampeni na vipeperushi nk vyote huzalishwa mbeya!!! Tupongeze Tanzania tuliowasaidia wakenya Hadi katiba mpya yao baada ya kutwangana wao kwa wao
Hata mimi nikiwa baa hupiga raundi za nguvu, ila siku nyingine watoto hutumwa na mama yao kuja kunivamia baa niwepe hela ya chakula.
 
Hizi nchi mnazipigia upatu sana ila tulioenda hizi zina miundombinu mibovu sijawaiona kuona tu lami tatizo kama zambi barabara ya mpakani na tunduma inayo ingiza kipato kikubwa ni vumbi yani ni aibu kwa hizi nchi za democracy
 
Kama kuwa sawa na Zambia au Malawi ndo matunda ya demokrasia then I'd rather live in a dictatorship regime.
 
Amani na utulivu,

Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi.

Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua hao walistaraabika muda mrefu sana na katiba zao ni imara kuliko sisi wakumbatia ujamaa hewa.

Haiingii akilini jitu kama polepole au bashiru waliovuruga chaguzi zote kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu leo wapo uraiani na wanachangamana na sisi raia waliotukanyagia na kusigina haki zetu za msingi.

Chaguzi za Tanzania imekua maigizo makubwa sana na Tume inafanya maigizo hayo bila woga, rejea swaga za mahela na wenzake kwenye chaguzi zote.

Chaguzi za Tanzania haziko huru na hazina haki wapinzani hunyanyasika kuanzia kampeni hadi kwenye kupiga kura.

Polisi kuacha kulinda Raia na mali zao wanabaki kukimbizana na wapinzani mara wakimbizane kuzuia mikutano ya ndani unawacheki unaona hawa akili zao ziko nyuma mno, Polisi acheni wanasiasa wapambane kisiasa kazi yenu kulinda amani tu tena mpo kwenye nchi isiyo na vikundi vya waasi lakini mnabehave worse.
Tanganyika Polisiccm ana nguvu kubwa kuliko chochote aweza kuwabambikia kesi yeyote wapinzani mda wowote akijisikia kufanya hivyo
 
Amani na utulivu,

Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi.

Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua hao walistaraabika muda mrefu sana na katiba zao ni imara kuliko sisi wakumbatia ujamaa hewa.

Haiingii akilini jitu kama polepole au bashiru waliovuruga chaguzi zote kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu leo wapo uraiani na wanachangamana na sisi raia waliotukanyagia na kusigina haki zetu za msingi.

Chaguzi za Tanzania imekua maigizo makubwa sana na Tume inafanya maigizo hayo bila woga, rejea swaga za mahela na wenzake kwenye chaguzi zote.

Chaguzi za Tanzania haziko huru na hazina haki wapinzani hunyanyasika kuanzia kampeni hadi kwenye kupiga kura.

Polisi kuacha kulinda Raia na mali zao wanabaki kukimbizana na wapinzani mara wakimbizane kuzuia mikutano ya ndani unawacheki unaona hawa akili zao ziko nyuma mno, Polisi acheni wanasiasa wapambane kisiasa kazi yenu kulinda amani tu tena mpo kwenye nchi isiyo na vikundi vya waasi lakini mnabehave worse.
Mzee ipo siku

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hizi nchi mnazipigia upatu sana ila tulioenda hizi zina miundombinu mibovu sijawaiona kuona tu lami tatizo kama zambi barabara ya mpakani na tunduma inayo ingiza kipato kikubwa ni vumbi yani ni aibu kwa hizi nchi za democracy
Zanzibar ipo Tunduma? Malawi ilichelewa kimaendeleo kwa sababu ya ule utawala za kamuzu Banda lakini sasa ina demokrasia maendeleo yanakuja kwa kasi kubwa
 
Kuna uthibitisho? Maana duniani kote single ya kuibiwa kura ktk uchaguzi ipo. Hata Trump alilalamika kaibiwa kura lakini alikosa uthibitisho. 😀😀😀
Unataka akuletee uthibitisho nyumbani kwako? Kwanza kupita bila kupingwa ni wizi wa kura tayari, hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Back
Top Bottom