Zambia na Malawi kwenye Demokrasia ziko mbali sana, Tanzania tuko sawa na Burundi

Hizi nchi mnazipigia upatu sana ila tulioenda hizi zina miundombinu mibovu sijawaiona kuona tu lami tatizo kama zambi barabara ya mpakani na tunduma inayo ingiza kipato kikubwa ni vumbi yani ni aibu kwa hizi nchi za democracy

Tanzania unayoiona leo, ina kila kitu bandari, madini, gesi, ardhi yenye rutuba, kahawa, chai, hii nchi bila kua na viongozi mafisadi hata dola moja ingekua bado sawa na shilingi moja ya Tanzania, ufisadi, wizi wa ccm umefanya vietnam waliofuata michikichi na korosho hapa watupite kwa kila kitu, Indonesia tuliokua nao sawa kiuchumi hatuwaoni tena hata walipo
 
Tanganyika Polisiccm ana nguvu kubwa kuliko chochote aweza kuwabambikia kesi yeyote wapinzani mda wowote akijisikia kufanya hivyo

Ushawahi kusikia polisi malawi au zambia wanaingilia uchaguzi?
 
Unataka akuletee uthibitisho nyumbani kwako? Kwanza kupita bila kupingwa ni wizi wa kura tayari, hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
Sasa ndugu yangu 'Minyoo' hapa si tunajadili hoja kwa ushahidi au tunaweza rusha tu makombora ya tuhuma bila uthibitisho? Hapa si ndiyo nyumbani kwa Great thinkers? 😀😀😀
 
Tanganyika kuna vioja vingi Polisiccm huwafanyia manyanyaso ya kila aina wapinzani, mfano sasa kingai na mahita wamewapoteza Moses Lilenje na LT Urio wa jwtz kisa tu walimpa mbowe walinzi ambao ni Asikari wasitaafu ambapo pia wakiwabambikia kesi ya ugaidi kwa Amri za Sabaya aliyekuwa DC hai kipindi hicho, kwa kifupi upande wa Tanganyika hakuna demokrasia Polisiccm hutawala kama wale makaburu wa enzi za ubaguzi kule Afrika kusini
 
Fact,Jeshi la polisi linapoona vyama vya upinzani kama jinai ni kujenga hofu kwa raia wake na kuwa ni kizazi kuabudu na kuabudiwa ndani ya nchi moja.
 
Ushawahi kusikia polisi malawi au zambia wanaingilia uchaguzi?
Nchi zingine Polisi wapo huru kufanya kazi zao bila kuingiliwa na chama Tawala kwa Tanganyika ni tofauti Polisiccm ni Tawi la CCM
 
Fact,Jeshi la polisi linapoona vyama vya upinzani kama jinai ni kujenga hofu kwa raia wake na kuwa ni kizazi kuabudu na kuabudiwa ndani ya nchi moja.
Polisiccm ni Tawi la CCM kazi yao kubwa ni kudhoofisha chadema na kuua upinzani kwa ujumla
 
Hiki siyo kigezo cha Polisiccm kuwaonea watu kuwabambikia kesi wapinzani, Ulinzi wa mipaka usifananishwe na kuminya demokrasia kuwabambikia kesi wapinzani kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote
 
Heshima tuliyokuwa nayo duniani kama nchi miaka ya nyuma imepotea kabsa. Sasa tuko kundi moja na akina Burundi, Somalia etc.

 
Yate hayo hayana uhusiano na uminyaji demokrasia kwa Tanzania Polisiccm ni Tawi la CCM kazi yao kubwa siyo kulinda watanzania na mali zao bali ni kuidhoofisha chadema na kuua upinzani
 
CCM na Polisiccm hutumia pesa nyingi kudhoofisha chadema kuliko maendeleo , pesa unayopotelea kwenye mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa ni kubwa mno ni pesa ambazo zingeweza kujenga daraja tokea hapo Dsm mpaka Zanzibar, kujenga vyuo vikuu, Hosptal za rufaa kila wilaya kutokana na Tanzania kuwa ni Nchi yenye rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani ni Nchi tajiri sana ingawa chini ya CCM imekuwa Nchi ya ajabu Nchi ya ukandamizaji demokrasia, Polisiccm kuwabambikia kesi wapinzani mahita kingai kuwatesa walinzi wa mbowe waseme ugaidi hewa ugaidi feki wa kubambikiwa, ni vigumu Taifa kupiga hatua kimaendeleo ktk mfumo huo wa kidikteta na kijinga jinga
 
Kwa sasa hatuna viongozi wa kuchaguliwa na wapiga kula bali kuna wabunge madiwani wa kujisimika wenyewe kwa njia haramu za kishetani chini ya usaidizi wa Polisiccm Tumeccm na wakurugenziccm matawi ya CCM
 
Yate hayo hayana uhusiano na uminyaji demokrasia kwa Tanzania Polisiccm ni Tawi la CCM kazi yao kubwa siyo kulinda watanzania na mali zao bali ni kuidhoofisha chadema na kuua upinzani
Tata kuna watu wapumbavu,mtu anasema sisi Tanzania huwa tunaamua nani awe rais kwa majirani zetu Kenya,Zambia na Malawi,huyo mtu ana akili kisasawa???Hebu atembee hizo nchi aishi hata miezi mitatu aone kama watu wa nchi hizo wana akili mgando kama za kwetu za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa ccm.
 
Mkuu hili bandiko lako source ni nn ama baada ya kupiga chimpum yako ndo unakuja na bandiko lako
 
Eti tumewasaidia wakenya (hamjawasaidia acha uwongo), sasa mbona nyie mnakataa katiba mpya, mko busy kuteka watu tuu na kuiba kura kila siku, good news yule askari wenu wa miguu sabaya kapigwa 30, CCM ni chama la kupigwa marufuku kabisa
 

Mkuu Demokrasia Ni Nini kwani. Unapotea. We andika tu sifia CHadema. Tutakupongeza. Haya mengine huyawezi.
 
Unafurahia chaguzi zilizojaa wizi wa kura, utekaji na kubambikiana kesi za kifala, watu kama nyie ndio mwanzo wa nchi kuwa ovyo kama mataputapu
Wewe mwenyewe ni wa hovyo kama familia yako
 
Mkuu Demokrasia Ni Nini kwani. Unapotea. We andika tu sifia CHadema. Tutakupongeza. Haya mengine huyawezi.
Watu waliooza mawazo kwa kukatisha wenzie tamaa kwa sababu ya rushwa,tamaa ya madaraka na uroho eti haya mengine huyawezi,Rubbish point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…