Zambia: Ndege ya Rais kupigwa mnada baada Rais Hichilema kusema ni ya gharama mno

Zambia: Ndege ya Rais kupigwa mnada baada Rais Hichilema kusema ni ya gharama mno

President H&H salute, binafsi nimefurahi kwa kupunguza rushwa kwenye check points, umepunguza utitiri wa check points, welldone kwa kuimalizia hii T2,Nakonde to Mpika na kutoleta usumbufu kwenye hizi military check points hasa unapokua umechoka na kuamua kuweka pit stop kwenye military points
 
Back
Top Bottom