Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hii nchi ya Zambia sijawahi kusikia kuna waasi, matukio ya kigaidi wala vurugu za kisiasa. Hata chama tawala kiliachia madaraka wapinzani kwa amani kabisa. Je hii ndiyo nchi salama zaidi Afrika?